Kwa nini Tanzania huduma nyingi za kisasa za mitandao hazipatikani?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.

Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.

Sasa natumia Twitter Blue tick, nimetumia address ya USA.

Kuna apps kibao na features kibao natumia ila Tanzania hazipatikani hivyo lazima nitumie anuani ya nchi nyingine.

Naomba kuuliza, kwa features nyingi za kisasa hazipatikani Tanzania wakati nchi nyingine zinapatikana.
 
Kiufupi nchi haijaamua Tech kuwa kipaumbele. Kenya serekali inafanya jitihada nyingi za makusudi kuhakikisha kila wanachokiona US wanapambana wakipate. Wana lobby sana kuhakikisha makampuni makubwa ya tech yanaweka ofisi Kenya.

Kamati kabisa inapewa kazi kuhakikisha kampuni kubwa zinafungua ofisi zao Kenya. Huu mchezo ulianziaga Nigeria na South Africa.

Mfano hata PayPal ni changamoto bongo. Kenya ukiwa na Equity account ama hata mpesa account unaweza link na paypal ukapokea pesa na ku withdraw. Bongo nwanwa bado.

Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.

Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.

Sasa natumia Twitter Blue tick, nimetumia address ya USA.

Kuna apps kibao na features kibao natumia ila Tanzania hazipatikani hivyo lazima nitumie anuani ya nchi nyingine.

Naomba kuuliza, kwa features nyingi za kisasa hazipatikani Tanzania wakati nchi nyingine zinapatikana.
 
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.

Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na awali nilikua natumia ya UAE, gharama ilikua kubwa kidogo kuliko Nigeria.

Sasa natumia Twitter Blue tick, nimetumia address ya USA.

Kuna apps kibao na features kibao natumia ila Tanzania hazipatikani hivyo lazima nitumie anuani ya nchi nyingine.

Naomba kuuliza, kwa features nyingi za kisasa hazipatikani Tanzania wakati nchi nyingine zinapatikana.
Inaumuhimu gani hiyo youtube premium mpaka uilipie
 
Back
Top Bottom