misingi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazo lenye akili: Bashe ajiuzuru ni kwa kuendesha ofisi ya umma kwa misingi ya dini

    Mmesahahu sakata la kuanzisha ofisi ya Kadhi mkuu? Hili taifa ni secular. Iweje tatizo la uhaba sukari litatuliwe kipindi cha mfungo wa Ramadhani? Wapagani na Wakristo nao wanajisikiaje? Huyu raia wa Igad aondoke hapa Tanzania
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Taasisi zote makini za kijamii huweka misingi imara ya itikadi zao kuanzia kwa watoto. CHADEMA jifunzeni kwa chipukizi CCM

    Kwa siku kadhaa nimeshangazwa na wafuasi wa chama cha Mbowe kushambulia idara ya chipukizi iliyo chini ya UVCCM kana kwamba ni jambo la ajabu sana kuwahi kufanyika. Wanaoshangazwa na uwepo wa chipukizi wanatakiwa kujikumbusha kuwa chipukizi CCM haijaanza leo. Ni idara ambayo ipo kwa miaka mingi...
  4. Sharo empress

    JamiiForums Tanzania Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  5. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Misingi ya CCM ni imara kuliko CCM ilivyo sasa

    Chama Cha Mapinduzi ( CCM) ni chama kilichopitia changamoto nyingi nyingi na zinazoweza kuhatarisha uwepo wake kama chama tawala lakini licha ya changamoto hizo kimeweza kustahimili kutokana na sababu kadhaa nje ya ukongwe wake au uzoefu. Moja ya sababu kubwa ni Misingi ya ujamaa ambayo CCM...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  7. tamsana

    JamiiForums Tanzania Misingi ya Imani ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)

    Ni ukweli usiopingika kuwa kila imani (kanisa/dhehebu) lina misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ndiyo inaisimamia. Misingi ya Imani ya Tanzania Assemblies of God inasimamia misingi kumi na sita (16) ambayo kila muumini anatakiwa kuiishi. Misingi hiyo ipo kwa mujibu wa Biblia Takatifu ambayo ni...
  8. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Cuba kuimarisha Misingi ya Kisiasa

    Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.)...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

    Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka CCM irudi kusimamia Itikadi na Misingi yake

    Asalam, 1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM 2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa. 3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM 4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa. 5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Kenya unaendeshwa kwa misingi ya Kikabila?

    Tangu kuanzishwa kwa siasa za vyama vingi Kenya, somo moja ambalo vyama vya siasa vimejifunza ni mpango wa kuungana ili kuweza kupata ushindi wakati wa uchaguzi mkuu. Uanzishaji wa miungano umekuwa msingi wa siasa za Kenya tangu uchaguzi wa 2002. Muungano wa kwanza ulikuwa wa National Rainbow...
  14. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Misingi, Changamoto na Utekelezaji Wake Nchini Tanzania

    UTAWALA WA SHERIA: MISINGI, CHANGAMOTO NA UTEKELEZAJI WAKE NCHINI TANZANIA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala wa sheria ni dhana muhimu katika jamii yoyote inayotaka kuendelea na kuwa na amani. Utawala wa sheria unamaanisha kuwa kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria, kanuni na...
  15. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuweka Misingi Bora Ya Uongozi Kwa Maendeleo Na Ustawi Wa Jamii

    KUWEKA MISINGI BORA YA UONGOZI KWA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII Imeandikwa na:Mwl.RCT *** Utangulizi: Katika ulimwengu wa leo, maendeleo na ustawi wa jamii ni mada muhimu sana. Uongozi una jukumu kubwa katika kufanikisha malengo haya. Hata hivyo, ili kufikia maendeleo na ustawi wa jamii, ni...
  16. O

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora na uwajibikaji misingi ya ustawi wa jamii

    Uwajibikaji na utawala bora ni kanuni muhimu za utawala wa umma ambazo zinahakikisha kua watendaji wa umma wanafanya kazi kwa uwazi na uaminifu kwa manufaa ya wananchi . Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya Tanzania iwe ngumu kufikia utawala bora. Hizi ni pamoja na: Rushwa: Rushwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Misingi ya siasa safi

    Makala hii ni muhimu katika kuangazia mienendo mbalimbali ya nchi zinazofuata na kuongozwa na demokrasia na katiba guru Kati ya watawala na watawaliwa, pia makala hii inasisitiza upatikanaji wa demokrasia kupitia misingi iliyowekwa ya haki na usawa kwa wote, Uhuru wa vyombo vya habari...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimelelewa katika misingi ya kuwa "nice person" ila nimegundua mambo ni tofauti huku uraiani

    Kuna watu wako standby ku take advantage of your niceness, nilikua naamini watu wanafanya maamuzi in a rational thinking lakini sio 0. Kijana ameoa ila anaona sifa kutembea na wanawake wengine nje, au kijana haoni shida kutembea na wake za watu. 1. Unakaa na kijana wa rika lako anakwambia...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe. Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema...
  20. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu Bora na Uwajibikaji: Misingi ya Mafanikio ya Kesho

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya mfumo wa elimu. Hivi sasa, kuna haja ya kuweka mpangilio mzuri wa mawazo na kuchukua hatua thabiti...
Back
Top Bottom