miradi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Brigedia Jenerali Mwanziva Aishukuru Taasisi ya WRAIR-DoD kwa Miradi Inayotekelezwa Katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi

    Hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi ikihudhuriwa na Brigedia Jenerali wa JWTZ Charles Mwanziva, Mwambata wa Kijeshi wa Ubalozi wa MarekaniLuteni Kanali Gerald Mathis, Mkurugenzi Mkazi wa WRAIR-DoD Tanzania, Mark Breda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zubeida Shaib atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini

    MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa yanayokarabatiwa fedha za mfuko wa Jimbo katika Skuli ya Msingi Kihinani Pia, Mhe. Zubeida Khamis Shaib...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Hayati Magufuli inavyowakosesha amani wapinzani. Hata baada ya kifo chake Bado kivuli chake kinawatesa

    Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
  6. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mameneja wa TANROADS wasiosimamia miradi kikamilifu kuanza kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kupelekea miumbombinu kuharibika ndani ya muda mfupi. Bashungwa ametoa...
  7. JamiiForums Tanzania Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amewataka Wananchi waliopo kwenye Vikundi kuandaa miradi mikubwa itakayowawezesha kukopa kiwango kikubwa cha fedha za Serikali isiyokuwa na riba. Akizungumza Februari 21, 2024 katika hafla fupi ya kuvunja...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Yawakingia Kifua Wakandarasi Wazawa Katika Utekelezaji wa Miradi ya Benki ya Dunia

    SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika mikataba ya utekelezaji wa miradi ya miundombinu ili kutoa fursa kwa Wakandarasi wazawa kushiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi

    Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi WABUNGE wametilia shaka matumizi ya Force Account katika kutekeleza baadhi ya miradi ya Serikali. Wawakilishi hao wa wananchi wameonesha wasiwasi wao huo wakati wa mjadala wa hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi(watingaji) kwenye kampuni za kigeni.

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi (watingaji) kwenye kampuni za kigeni

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k. Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Resource Mining Corporation's (RMC) yamiliki miradi ya madini ya shaba na dhahabu wilayani Mpanda na Mbozi

    Ununuzi unakamilisha maeneo sita ya miradi ya nickel-shaba ya Kampuni ya Uchimbaji wa Rasilimali (RMC) katika mkanda huo huo. RMC yenye makao yake Australia imefanikiwa kupata miradi ya shaba-ya-dhahabu ya Mpanda na Mbozi nchini Tanzania. Mkataba ulitekelezwa kupitia ununuzi wa asilimia 75 ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima Serikali kufanya miradi mikubwa wakati kuna kampuni zinaweza kukaribishwa kufanya miradi hiyo ili pesa ikatumike sehemu nyingine

    Dp world ni sawa kuja kuwekeza bandarini ila kinacho fanya watu kupigia kelele ni ili la mikata mibovu ambayo kila kukicha serikali ikidondokea pua na kuishia patupu. Kweli hipo miradi ambayo zinafanya bila serikali kama ya uchimbaji madini lakini hakuna manaufaa kwa wananchi wake wala faida...
  16. JamiiForums Tanzania Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

    katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa. chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi. usije shangaa masoko mengi makubwa ni...
  17. JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal tour yaongeza Watalii TAWA, Yatekeleza Miradi 6 kwa upande wa Elimu

    TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa Amuondoa Mhandisi Mshauri, Aagiza Mkandarasi Kutopewa Miradi Mingine

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa Mhandisi Mshauri LEA Associaties anayesimamia ujenzi wa barabara ya Kitai - Lituhi sehemu ya Amani Makoro-Ruanda (km 35) kwa kiwango cha lami na kuutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kusimamia ujenzi huo ili uweze kukamilika...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 mwenye taarifa za miradi ya maendeleo Tanzania tukutane hapa!

    Wakuu, happy new year 2024. Wenye taarifa za miradi ifuatayo tukutane tujadiliane: 1. Uwanja wa ndege wa Msalato 2. Ujenzi wa barabara ya mwendokasi kuelekea uwanja wa ndege wa Dar 3. Ujenzi wa chuo kikuu Butiama 4. Ujenzi wa barabara Kwa kiwango cha lami kutoka SikongeTabora hadi Makongorosi...
  20. JamiiForums Tanzania Tukabidhi miradi na taasisi kwa wawekezaji na sisi tusilipe kodi bali tulipie huduma

    Awamu ya tano wamekuja na miradi ya PPT yaani muwekezaji anapewa mradi anaujenga kwa gharama zake kisha anaweka gharama za utumiaji ili kurejesha gharama alizotumia plus faida labda kwa miaka 30 baadae ule mradi ndio unarudi kwa serikali. kwa maelezo ni miradi mizuri tu hata Congo ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…