Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

Mkuu umeagizwa paka rangi gani?na jinsia gani? Maana kila mganga na masharti yake
 
Kama umepanga bora uhame tuu kuliko kutafuta paka ambae inaonekana kabisa hutaweza kumlisha ina maana asipokamata panya basi tayari hatokula na unajua kabisa paka wengi wa siku hizi hawapendi mambo ya kukimbizana.
 
Kama Uzi unavyosema, natafuta paka kwa udi na uvumba. Yeyote mwenye paka mdogo ambaye ameacha kunyonya tuwasiliane kuanzia jukwaani hapa. Hata kwa Kibaha, Dar, hadi Mkuranga, na Kisarawe pia Bagamoyo maeneo yote hayo niko tayari kumfuata.

Karibuni.

Naishi Dar es Salaam.
Ninao paka wazuri sana(mice eaters) wadogo wa miezi 6 nitakuuzia 100,000/= delivery charges utalipa mwenyewe baada ya kufikishiwa mzigo wako hapo unapoishi. Kama upo tayari ni PM
 
P
Mkuu umeagizwa paka rangi gani?na jinsia gani? Maana kila mganga na masharti yake
Paka wako wengi sana pale Hongera Bar, jirani na Cho cha Ustawi wa Jamii. Unaongea tu na mhudumu anakuchukulia mtoto mmoja unaenda kufuga. Kama utakosa hap jaribu tena kwenye baa kubwa kubwa maeneo ya Sinza au Kinondoni lazima upate Paka . Mimi niliwahi kuchukua bar moja iko opposite na Cho cha Ustawi wa Jamii, Paka huyo alinisaidiwa sana kuua panyaa. Ila siku ya kwanza ilikuwa ni mtiti maana alikuwa analia muda wote
 
Nakushukuru Sana kwa ushauri na maelekezo yako. Wengi wamekejeli lakini nahitaji paka kwa dhati kabisa.
 
Back
Top Bottom