PM Thomas
Member
- Aug 25, 2020
- 5
- 11
Nimeanza kuifatilia Jamii forum tangu 2011....lakini kujiunga nimejiunga mwaka huu tu, swali langu ni kwa nini watanzania wanakua siyo wapenzi wa kujisomea?
Wengi wanapenda habari fupi fupi tu tena za udaku, ushabiki wa kisiasa n.k ukiweka topic ndefu wanakwambia hiyo sisi hatusomi....fatilia kwenye magroup ya whatsapp,ndio sababu wengine hata Jamii forum hawaijui, je shida ni nini?