mimi

  1. T

    Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

    Mh Rais kila ninapokumbuka furaha yangu niliposikia umechaguliwa Kuwa mgombea wa Urais na kupeperusha bendera ya CCM 2015. Ukaanza vizuri mpaka tukasali Kwa machozi kukutakia heri utukomboe sisi masikini Ila mara ghafla furaha yangu imekuwa masimango, huzuni, upweke na machozi. Kiasi wakati...
  2. GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  3. Akijua fika Mimi ni mwana CCM na Yeye ni mwana CHADEMA nimemtembelea 'Ofisini' Kwake kila mara ananiwekea tu hizi Nyimbo

    Nyimbo zenyewe ni kama zifutazo... 1. Tutatoana Roho Yarabi 2. Ujanja wa bure tu 3. Mwaka huu unalo 4. Mbabe kakutana na Mbabe mwenzake 5. Za Mwizi 40 6. Mwosha huoshwa 7. Malipo ni hapa hapa duniani Wewe Mtani wangu wa Kisiasa mwana CHADEMA hapo Mbezi 'Goigi' Mimi GENTAMYCINE mwana CCM...
  4. C

    Ataweza kuishi na mimi kweli? Nataka kuanza biashara ya kuuza juisi, anasema ni kazi za wadada

    Iko hivi, Niko na mpenzi ambaye tumekuwa pamoja kwa muda mpaka hivi sasa. Ila sema huyu bi dada nimeshindwa kumuelewa kwa kauli yake aliyonijibu. Hivo kutokana na changamoto za ajira, nikampa mwenzangu wazo kuwa kwa sasa nataka nianze kutengeneza Juice niwe ninauza maofisini na hata kwenye...
  5. Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Hili jambo sikuwa napenda sana kuwahadithia wadau. Lakini leo naona niwape kisa hiki kilichonipata miaka ya 2000s. Mimi nimekulia Sinza kivulini kwa miaka yangu yote na washkaji kibao ambao wengi walienda Usa na South Afrika. Bongo tulibaki wachache sana ktk group letu. Akina Mandawe na Jitu...
  6. A

    Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

    Mnakumbuka yaliyoendelea Zimbabwe au Somalia au Iran. Ni ukweli Haya majamaa yameiba kura yameua watu Zanzibar, lakini je hatua anazochukua Lisu na wapinzani za kutusema kule duniani je mnadhani madhara ni kwa nani? Kwa jiwe au mm na wewe? Mshahara WA jiwe Kwa mujibu WA scale za serikali Ni...
  7. Baada ya Kutuzimia kimya kimya, inasemekana kuanzia saa 6 na dakika 1 usiku wa leo mnatuwashia. Mimi nahitaji majibu ya maswali yangu

    Je, 1. Mlipozima mliagizwa au ni kiherehere chenu tu cha kutaka Sifa wana Ubungo Tower? 2. Hasara ambayo nchi hasa TRA imeipata na Makampuni mengine Makubwa nchini italipwa nanyi Ubungo Tower? 3. Kutuzimia Kwenu mnadhani mmefikia Lengo au wana Ubungo Tower mmeshadharaulika na Watanzania? 4...
  8. Pesa zenu ndio natumia mimi. Endeleeni kujifanya Vidume

    Ni mwaka na nusu sasa nina mchepuko wangu ni Traffic. Naenjoy sana. Huwa haniombi pesa na nikijifanya kutaka kumpa anacheka sana. Ananambia yeye mtaji wake ni Uniform tu akitinga hizo akaenda simama barabarani ndani ya dk 20 ana zaidi ya 70,000. Anajua mitego ya sehemu watu wana fanya makosa...
  9. GE2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

    Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea. Chama tawala CCM walianza kwa kishindo kikubwa pale dodoma na kuonesha ukubwa wa idadi ya...
  10. GE2020 Mbowe: Ndani ya saa 72 nitakuwa Waziri Mkuu

    Mbowe amesema katika saa 72 zijazo Tundu Lissu atakuwa Rais wa Tanzania na Mimi nitakuwa Waziri mkuu Chanzo: Mwananchi online ==== Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema ndani ya saa 72 zijazo, mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu anakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. J

    Wana-MMU hebu niambieni mimi ni mwanaume wa ajabu?

    Habari zenu wana-MMU. Nataka maoni yenu katika hili swala. Swala hili linaonekana la ajabu kutokana na mila na tamaduni zetu za ki-Afrika ila SIO DHAMBI kabisa. Mimi siitaji kuja kuwa na mtoto katika maisha yangu yote ila nataka kuoa niwe na mke TU. Hii ni kawaida sana kwa nchi za ulaya na...
  12. M

    GE2020 Upinzani hizi dakika za majeruhi naona Dkt. Magufuli anatuumiza sana na hoja ya korona, tujipange kumjibu

    Kwa jinsi anavyoipiga kwa sasa kila anapopita ni kama anaiweka kichochezi hivi, kwa sababu hadi sasa ni kweli Korona ipo na Ulaya na marekani hari bado ni tete. Yeye anazungumzia mambo yaliyopita kuwa vingozi wetu walikimbia bungeni mara kujilokudouni hii anatuchafua sana, na kibaya zaidi...
  13. M

    Sichukii kuzaliwa Mwafrika wala sichukii kuzaliwa Afrika; nachukia kutojikubali kuwa mimi ni Mwafrika

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
  14. B

    GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Pamoja na kujipitisha mashuleni kutuomba kura za huruma, mie nimeamua kura yangu sitampa mgombea wa ccm kama nilivyofanya 2015 hii ni kutokana na mambo 10 niliyoyaona kipindi hiki cha miaka mitano 1. Makato ya bodi ya mikopo toka 8% hadi 15% bila sababu maalum tena kwa ubabe. 2. kutunyima...
  15. A

    Mimi siko tayari kuwa miongoni mwa watakaosema "I am sorry Magufuli"

    Waungwana, na ijulikane leo kuwa mimi binafsi nimekataa kuwa sehemu ya Watanzania watakaosema tusamehe Magufuli, hatukujua kuwa wewe ni mtu muhimu kwetu Watanzania. Anyway, hivi mnakumbuka hali ilikuwaje kipindi cha Kikwete? Wengi wa wapiga ramli walifikia mpaka hatua ya kutabiri kuwa CCM...
  16. Msaada kimawazo: Nimezaa na mwanamke ambaye anaishi na mwanaume. Mtoto kazaliwa copyright na mimi

    Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
  17. Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  18. GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  19. GE2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au? Kama kitu Watanzania wanachotaka ni maendeleo, then...
  20. M

    Utambulisho

    Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…