sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,010
- 8,355
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kutuamsha wote tukiwa SALAMA saliminin,lakini pia hata Kwa wale wenye changa moto afya Tumwombe Mungu wetu sote awaponye na kuwarejeshea afya njema.
Nitakuwa kiumbe cha ajabu nisipo mshukuru Mungu kwa AJILI ya walio twaliwa maana nayo hiyo ni kazi ya Mungu na Kila nafsi itaonja mahuti.
Niende kwenye mada!
Wkend hii tunafuifunga kwa kuumizwa na watawala wetu kwanza kwenye TOZO, lakini pia kwenye hii HOja ya gharama za vifurushi baadhi yetu tukilalamikia ongezeko la gharama za vifurushi na wengine tukilalama paspo majibu mazuri kutoka kwa wanao tutoza,
Nianze na la Tozo,hakika kwa kweli Kila serikali na njia yake ya kukusanya mapato utawala wa mwendazake alitamani tufike pahala Kila kitu tukilipie Kodi na kwa nguvu zake alihadi kusmamia Kodi zetu kutuletea unafuu wa maisha Nina hakika alifanikiwa kwa namna fulani kukusanya mapato na kuyasimamia kwa nguvu thabiti.
Lazima tukili yakuwa ukusanyaji wake wa Kodi ulikuwa umejewa na matumizi makubwa ya mabavu ndio maana tangu tupate uhuru ni utawala wa Magufuli Mabilionea wengi kutoka Tanzania walikufa nae hakuwa bilionea lakini alikufa.
Nieleweke vyema sipingi tozo ila napenda kujulishwa mapema tuna funga mkanda kwa ajili ya Nini?nasema hivyo Ili nikiskia tumekusanya kiasi fulani kimeenda kufanya jambo fulani kidogo inatia tija kwa mlipa Kodi,hakuna kitu kinaumiza unalipa Kodi inaishia mfukoni kwa mtu uliyemwajili kwa kumpigia kura.
Tena anakula Kodi yangu Kwa kuiiba. Kuna tozo tuliambiwa imejenga madrasa, haikuwa mbaya hata kama Sina moto wa kusoma huko.
Kimsingi waziri wa fedha anaitajika kutoa elimu kwa watanzania na Sio kujifungia ofisini na kuja na vitu vya ajabu ajabu huku akionekana kwenye Runinga akitukebei yakuwa hasiyetaka kulipa TOZO aende Burundi Ili Sio jibu sahihi kwa wananchi wa nchi yetu.nitumie fursa hii kumkumbusha yakuwa Waziri MAREHEMU Bazil Mramba aliwai toa kauli ya kebei yakuwa hata tule NYASI ndege ya Raisi lazma inunuliwe, kilichofatia ni Waziri aliyewai kuukumiwa kwa matumizi mabaya ya MADARAKA.
Nakumbuka Magufuli aliwai kuwambia wananchi wa kigamboni watalipia kivuko hawatiki wapige mbizi, hatimae alikuwa ni Raisi wa kwanza kufia madarakni.
Mwigulu EPUKA kiburi mkuu chutama.
Moja ya Somo nililofundishwa na Kasisi mmoja kabla ya kufunga ndoa lilikuwa ni kumtumza mke wangu wa ndoa leo namuita mama Francis, enzi hizo kabla yakuwa nisimtumze kama vile rafiki yangu anavyo mtunza mke wake, kamwe,na nisije diriki kummwambia mke. Wangu mfano,mke wangu mama Francis mbona ukati kiuno kama mama fredina mke Nape Naye?
Nisidiriki kumwambia mke wangu mbona ulembui jicho lako kama mke wa Nape Naye?
Sikumuoa mke wangu kwa kumwambia au kumuaidi yakuwa nitamtumza kama mke wa Nape Naye, ningefanya hivyo pengine mke wangu hasingekubali kamwe, na nina hakika kama ningelimuadi yakuwa mke wangu Nina kuoa Leo ila ntakuwa nasonga ugali uku nikiwa nimevaa pensi na kupiga picha na kutupia kwenye mitandao ya kijamii walah nimjuavyo mke wangu siku hiyo hiyo ndoa hisingefungwa.
Kwa vijana ambao hamjafunga ndoa niwasihi usje kamwe ujaingia kwenye ndoa kwa kumuaidi mchumba wako yakuwa utaishi hivi nae kama ambavyo Mimi sifileo naishi na mama yenu Mama Francis, hiyo ndoa haitodumu kamwe itavunjika na itakufa ingawa haitozikwa maana hakuna kaburi la kuzika ndoa zaidi ya moyoni,(jukumu la ovyo kwa moyo siku hizi mwisho wake ni mahuti,jukumu mahususi la moyo ni kusukuma damu).
Inawezekana sieleweki ndugu wasomaji wa Andiko langu la jumapili ya TAREHE 21/08/2022, kutokana na kuvalisha lugha maneno niyaandikayo, ni hivi sisi watanzania hatuichagui ccm kwa Ili ije ituletee maendeleo kutoka hapa tulipo itufanye kuwa kama marekani,au hata hapo jirani Kenya.
Tunachagua viongozi tutakapo shirikiana nao kuleta maendeleo yanayoendana na Hali halisi ya uchumi, Mila desturi zetu na sio kinyume Cha hapo.
Ccm haipigiwi kura kwa sababu ya kuja kututoza Kodi kwa mfano wa nchi fulani paspo kutushirikisha sisi watanzania,haiwezekani Waziri wa Habari mfano nape aambiwe mkeo mbona anakula sana ajitokeze adhalani ajibu ''eti mke wake anakula sana Kwa sbabu mke wa sifi Leo anakula sana sana kuliko wa mkewe this is rubish feedback from the husband.
Unaulizwa kwanini gharama za vifurushi zinapanda Kila kukicha ,unajiibu eti'' kwa Tanzania hazipandi kama Kenya Uganda na rwannda,Wewe ulichaguliwa Ili utuendeshe kama wakenya?waganda?
Nisikuchoshe ndugu msomajo niwaombe watanzania tufanye yafatayo!
Tukubali kuhesabiwa kesho kutwa,pili tuyakatae maviongozi mithili ya Nape Nauye,na Mwigulu Mchemba hata watakao teuliwa tuwakatae hata watakapo teuliwa na hata tukilazmishwa na wateule wao basi tuwakatae wateule wao.
Ni andiko langu la kwanza la Jumapili ya TAREHE 21/08/2022.niwatakie jumapili njema na yenye Baraka Mungu awatangulie WanaJf wote mlio hai na hata waliotangulia mbele za Muumba usiku wa leo.