Mama mkwe, kumpenda kijana wako, isiwe fimbo ya kunichapia

Mar 4, 2017
11
26
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???

Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu kabila lake baya, huyu mrefu sana, huyu anakazi kwao watakudharau, Mama uliposikia mwanao anaishi na amezaa na binti huku mjini hukusita kupanda basi kutoka kwenu Tabora kuja kuniona,

Hapo mwanzo nilidhaniumekuja kuniona na kunikanda kwani ndio kwanza nilikua nimefika kujifungua, Wala hukujali chumba chetu kimoja, Kwa aibu mwanao akakupisha Ili uwe comfortable, lakini badala ya wewe kuniuguza Mimi, Mimi ndio nikawa mfanyakazi wako, naamka mama chai nakupikia, Nguo nakufulia na unachotaka nakupatia hayo yotenilivumilia mama yangu kwani mwanao Alisha ni allert mapema kuhusu gibu lako na akaniambia mke wangu sikutambulishi kwa mama maana namjua.

Isije na wewe akakukataa wakati Mimi nimekuchagua na kukupenda, hivyo nilivumilia nikutudhishe mama yangu lakini mipaka ulivuka pale uliponitaka nimuache mwanangu wa wiki 1 akiwa analia, niende sokoni kukununulia samaki wakavu maana maharage umeyachoka, nilikuomba msamaha mama yangu japo tu nimnyonyeshe mwanangu halafu sokoni ntaenda, ila uliposikia tu mwanao barazani ukaanza kulia na kusema nimekuita wewe mchawi na kwangu nimekufukuza, mwanao nae Wala hakujali ya kua nilikua nanyonyesha mtoto wetu wa wiki 1 tu.

Alichukua maharage noliyokua nayaunga jikoni na kutumwagia usoni Mimi na mwanangu, hakika mtu yeyote anaelia huyo anae wakumbembeleza sitasahau kelele za mwanangu ulietaka kumuua bila hatia ila #Mungu akampigania, barua hii ni Kwa vijano wote hasa wewe uliekua baba wa mwanangu sijui wewe na mama Yako mnaendeleaje kwasasa, ila sisi tupo salama salimini, mwanamke uliopo kwenye ndoa ya mateso usikubali kunyanyasika, kimbia haraka sana usije ukafa.. nawapenda nyote
 
Ni familia zenye kuendekeza njaa, mama mkwe akae na mumewe, kwake, mbali na watoto wake. Mambo ya kishamba sana. Pengine ni muhitimu wa

IMG-20220729-WA0000.jpg
 
Kwanza pole sana mkuu

Pili: wanaume inatakiwa tu tuelewe kuwa ni vigumu sana wanawake wawili wasio ndugu kuishi nyumba moja kwa amani na upendo, upendo wa dhati wa mwanamke upo kwa wanae tu sometime na kwa mme/mpenzi wake, huko kuliko baki mwanamke ana roho nyingine tofauti kabisa (Japo siyo wote).

Ushauri wangu: Kama kweli unampenda mkeo na mama yako usiruhusu wakae pamoja kwa zaidi ya wiki kadhaa, kama hakuna tatizo wala ulazima wa wao kuwa pamoja. Hao viumbe wakikaa pamoja kwa wiki kadhaa tu tegemea nyumba yako kuwa mahakama na wewe kugeuzwa hakimu/Jaji.

Tuendelee kuwapenda Mama zetu, tuendelee kuwapenda wenza wetu pia.
 
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???

Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu kabila lake baya, huyu mrefu sana, huyu anakazi kwao watakudharau, Mama uliposikia mwanao anaishi na amezaa na binti huku mjini hukusita kupanda basi kutoka kwenu Tabora kuja kuniona,

Hapo mwanzo nilidhaniumekuja kuniona na kunikanda kwani ndio kwanza nilikua nimefika kujifungua, Wala hukujali chumba chetu kimoja, Kwa aibu mwanao akakupisha Ili uwe comfortable, lakini badala ya wewe kuniuguza Mimi, Mimi ndio nikawa mfanyakazi wako, naamka mama chai nakupikia, Nguo nakufulia na unachotaka nakupatia hayo yotenilivumilia mama yangu kwani mwanao Alisha ni allert mapema kuhusu gibu lako na akaniambia mke wangu sikutambulishi kwa mama maana namjua.

Isije na wewe akakukataa wakati Mimi nimekuchagua na kukupenda, hivyo nilivumilia nikutudhishe mama yangu lakini mipaka ulivuka pale uliponitaka nimuache mwanangu wa wiki 1 akiwa analia, niende sokoni kukununulia samaki wakavu maana maharage umeyachoka, nilikuomba msamaha mama yangu japo tu nimnyonyeshe mwanangu halafu sokoni ntaenda, ila uliposikia tu mwanao barazani ukaanza kulia na kusema nimekuita wewe mchawi na kwangu nimekufukuza, mwanao nae Wala hakujali ya kua nilikua nanyonyesha mtoto wetu wa wiki 1 tu.

Alichukua maharage noliyokua nayaunga jikoni na kutumwagia usoni Mimi na mwanangu, hakika mtu yeyote anaelia huyo anae wakumbembeleza sitasahau kelele za mwanangu ulietaka kumuua bila hatia ila #Mungu akampigania, barua hii ni Kwa vijano wote hasa wewe uliekua baba wa mwanangu sijui wewe na mama Yako mnaendeleaje kwasasa, ila sisi tupo salama salimini, mwanamke uliopo kwenye ndoa ya mateso usikubali kunyanyasika, kimbia haraka sana usije ukafa.. nawapenda nyote
mimi hunifanyi hivyo, nitoke kwenye uzazi nikuhangaikie mama mkwe? Hell NO. Yaani angekufa kwa njaa tu au mwanae angekuwa anamuhudumia yaani siku ya kwanza hiyo hiyo angejua mbivu na mbichi. Ungeenda kumshitaki polisi kumjeruhi mtoto makusudi yaani ingekuwa funzo kwake, bora kukosa hiyo ndoa lakini tabia za kipuuzi angeacha. Na huyo mwanae boya tu, huwezi kukubali mtoto wako wa wiki moja amwagiwe maharage
 
Pole sana

Muda mwingine sionagi umuhimu wa kukaa na ndugu aiseee... MAMA WAKWE WENGINE MAJANGA TU
 
Hivi kwani Kuna mashindano?? Mbona kama mama zetu hawajihanini kabisaa, napenda kujua labda Mimi ndio mgeni katika Haya mambo kwani Kuna Siri gani kati ya mama mkwe na kijana wake???

Hapo mwanzo nasikia alikua anakataa Kila Binti aliekua akipendwa na mwanae, yaani Sababu haziishi, ooh huyu kabila lake baya, huyu mrefu sana, huyu anakazi kwao watakudharau, Mama uliposikia mwanao anaishi na amezaa na binti huku mjini hukusita kupanda basi kutoka kwenu Tabora kuja kuniona,

Hapo mwanzo nilidhaniumekuja kuniona na kunikanda kwani ndio kwanza nilikua nimefika kujifungua, Wala hukujali chumba chetu kimoja, Kwa aibu mwanao akakupisha Ili uwe comfortable, lakini badala ya wewe kuniuguza Mimi, Mimi ndio nikawa mfanyakazi wako, naamka mama chai nakupikia, Nguo nakufulia na unachotaka nakupatia hayo yotenilivumilia mama yangu kwani mwanao Alisha ni allert mapema kuhusu gibu lako na akaniambia mke wangu sikutambulishi kwa mama maana namjua.

Isije na wewe akakukataa wakati Mimi nimekuchagua na kukupenda, hivyo nilivumilia nikutudhishe mama yangu lakini mipaka ulivuka pale uliponitaka nimuache mwanangu wa wiki 1 akiwa analia, niende sokoni kukununulia samaki wakavu maana maharage umeyachoka, nilikuomba msamaha mama yangu japo tu nimnyonyeshe mwanangu halafu sokoni ntaenda, ila uliposikia tu mwanao barazani ukaanza kulia na kusema nimekuita wewe mchawi na kwangu nimekufukuza, mwanao nae Wala hakujali ya kua nilikua nanyonyesha mtoto wetu wa wiki 1 tu.

Alichukua maharage noliyokua nayaunga jikoni na kutumwagia usoni Mimi na mwanangu, hakika mtu yeyote anaelia huyo anae wakumbembeleza sitasahau kelele za mwanangu ulietaka kumuua bila hatia ila #Mungu akampigania, barua hii ni Kwa vijano wote hasa wewe uliekua baba wa mwanangu sijui wewe na mama Yako mnaendeleaje kwasasa, ila sisi tupo salama salimini, mwanamke uliopo kwenye ndoa ya mateso usikubali kunyanyasika, kimbia haraka sana usije ukafa.. nawapenda nyote
Pole dada huyo mama ni mchawi tu hakuna kuremba maneno
 
Duh maskini pole sana. Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom