mimi

  1. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Watanzania mtaacha lini kulalamika?

    Je, walimu wa serikali wanaumizwa na mpango wa mikataba na wakuu wao? Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepata malalamiko kutoka kwa baadhi ya walimu wa Shule katika Mkoa wa Dar es Salaam na pia tumegundua kuwa walimu kadhaa wako katika msongo mkubwa sana wa mawazo kufuatia 'mikataba mipya' ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  4. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania DR Congo hali ilikuwa tete sana, tangu mimi nizaliwe sijawahi kuona matendo kama yale ambayo tulikuwa tunafanyiwa sisi

    Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Yesu kristo alipozungumza na mimi zaidi ya miaka kumi iliyopita

    Nilikuwa ni mtu wa starehe Sana miaka ya nyuma, ila mwanzoni nilikuwa si mtu wa kulewa Wala wanawake Sana, ila siku moja nilipoanza pombe nilijikuta n
  7. S

    JamiiForums Tanzania Unanishauri nini mimi dereva ninaeanza kuendesha Uber na Bolt?

    Ndugu zangu katika kupambana na maisha kijana mwenzenu hatimaye nimepata IST na nimekamilisha taratibu zote za kuanza kufanya kazi ya Uber na Bolt. Gari ni yangu japo si mpya sana ila bado nzima kabisa nimefunga na AC. Sasa kwa kuwa ndio naanza najua kuna mengi natakiwa kujifunza. Ningeomba...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mimi na Mchumba wangu tumeamua kumchuna huyu Mbunge. Atakoma safari hii kaingia choo cha kike

    Nliwaambia mchumba wangu yupo Dodoma kahamia Dar. Kumbe kuna mbunge bwege alikuwa anamfukuzia. Sasa anaandika msg anasikitika kuwa yaani ndo amekosa K hivi hivi.. Mi nliona mchumba anachat nikamwambia anipe simu yake nione anachat na nani. Akataka kukataa maana alikuwa anaona naweza enda mpasua...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Kwako Heche, chukua hii sio yangu ila ni yule akufanyae unapumua kama mimi na utabarikiwa

    Heche, Kwanza pole na majukum ila pia hongera kwa kunimalizia bando maana nakusikiliza sana kwenye ziara mbalimbali za kichama usimamapo jukwaani, kipo kibari kikubwa juu yako, Mungu anasema juu ya nchi hii Lakini Mungu anakumbusha ahadi yako, uliwahi tamka Kwamba, Siku ukiona chadema ipo...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anaweza niua. Naona niachane naye tu nimeshindwa mimi

    Week ya 3 hii nakaa naye amehamishiwa kikazi Dar. Maana alikuwa Dodoma. Nikamsaidia arudishwe Dar ili tuwe karibu. Michakato yote nimeifanya mimi kwa pesa zangu. Hatimaye kahamishiwa Dar. Amekuja amefikia kwangu na tumeanza kufanya mazoezi ya Ndoa. Lakini nashindwa kuvumilia. Mambo kadhaa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  12. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

    Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia Vodacom wananiambia kuwa nakatwa salio sababu nimejisajili kwenye huduma ya "Mdundo". Na zaidi sasa...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kati yao na mimi, wao watanizika au mimi nitawazika?

    Nikifikiria hiyo siku isiyokuwa na jina ya kuwazika wazazi wangu au wao kunizika mimi Wazazi wangu wote bado wapo hai
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

    ... Moderator, Please Delete .... Moderator
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nimemzingua konda wa gari akaniita bachela. Muonekano wa bachela unatofautiana vipi na mwenye ndoa?

    Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu sitasahau: Niliwacheka sana wanaochapiwa wakati huo huo na mimi kumbe nachapiwa sana kama ngoma

    Salaam tele ziwafikie Kati ya mwaka 2019 au 2020, msanii Stamina ft Roma alitoa wimbo wenye ujumbe wa kusalitiwa na mkewe wa ndoa. Huyo mke akitoka na Ex wake ambae alicheza club ya Simba SC, na baadae nadhani akahamia Namungo FC. Nikiwa nimekaa kwa starehe na raha kabisa na kipenzi changu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

    Ndiyo, Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao? Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
  18. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  19. Jet fighter18

    JamiiForums Tanzania Mimi Mwalimu wa Chemistry, natafuta kazi

    Mimi ni Mwl wa Chemistry na biology O level natafuta kazi. Nina uzoefu wa miaka 15 kazini. Nipo Dar es Salaam. Contact: 0764 727890
  20. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji mkubwa wa maharage husababisha uoni hafifu

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
Back
Top Bottom