NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Habari zenu wote humu ndani.
Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki tozo.
Sasa ninajiuliza ni vipi hili deni, maana sehemu hii ni mpya kabisa.