Nikutongoze tukubaliane, halafu nikukute na mwanaume mwingine uzuge zuge! Labda kama sio Makide mimi

marehem x

JF-Expert Member
Dec 28, 2022
515
786
Nina mchumba angu wa tangia 2014.

Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia.

Nilimpa Cash akanipa bia. Sikudai chench before hand. Akanipa larger nyingine, wanywaji tunajielewa sana kwa wale wasiojua hilo. Nikaanza nyingine sikuwa nimemlipa safari hii. Baadae akapigia bili mkeka wote. Nilishangaa kimoyomoyo na kumfungukia, akakaza.

Nikamulewesha, akadai nimelewa. Kwa kuwa hatujaachana , ni kitu na dem wake. Tukaendelea, siku moja ninakuta mabadiliko kaunta. Mtu mmja amenipindua, nikasema isiwe kesi. Nikakaa pembeni, mwezi sasa umepita, namuona atapata tabu na mimi nimeamua kula kobis.

Niliamua kuwa mpole maana mapenz ni kuzunguzungu, sikutaka matata. Yaani nikukute na mikwaju mingine nichecheke kama mwehu sii mimi makide, sipendu uchafu
 
Nina mchumba angu wa tangia 2014.

Ni single mother wa watoto watatu bado mbichi hajachujuka sana, ni kaunta Bar jina kapuni. Siku moja tulitofautiana nilikaa caunta nikala bia sana, namjua kitabia ukimpa upenyo anakuibia.

aka matata. Yaani nikukute na mikwaju mingine nichecheke kama mwehu sii mimi makide, sipendu uchafu.
Umesema mchumba tangu 2014?
 
Piiga Dew Drop 1.5 litre bariiidi sana kwa mkupuo.
 
Back
Top Bottom