mimi

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  2. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania To my JF family, nina DEPRESSION

    Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia. Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked. Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani. I'm in btn devil and deep blue sea.
  3. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda asema kuwa akipita eneo lako na ukaona umetenguliwa na Rais basi juwa kuwa ni yeye na wala usimlaumu Rais

    Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini. "Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tulipita mkoa fulani...
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Mimi nawakana, hawa sio Wakristo

    Shortcut matokeo yake ndio haya
  7. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

    Nawasalimia wana JF, hope mpo fine. Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........ Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita...
  8. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mama jueni hilo

    Mie ni Mama na mjue kuwa hata mkisema mengi mie ni mama nimeolewa na watoto sio mtoto na watoto wanne mie ni mama. Juzi kati hapa mnaniandama mie nimtu mzima sana. Ongeeni mengi ila mie ni mama. Na mume na familia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Visa ya India huchukua siku ngapi?

    Heloo WanaJF mko poa? Visa ya India ni siku ngapi mpaka napata?
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

    Wanabodi, Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025, Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: Mimi asili yangu ni Israel

    Tajiri wa kwanza duniani Bw. Elon Musk ajitambulisha kama mtu mwenye asili ya Israel kama anavyo simulia hapa chini 👇 --- Elon Musk has reflected on his “Jewish roots” during his childhood in South Africa. The world’s richest man – who was born in Pretoria – shared his experience during the...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

    Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasichana wananionea aibu mimi?

    Wakuu, at first anaonekana kutaka attention yangu lakini navozidi kumkaribia ili kuwa naye urafiki hazipiti siku tatu anaanza kunikwepa na kunionea aibu. Nami ambavyo sipendi kushoboka nampotezea. Girls wengi marafiki nakuwa nawapoteza kiivyo. Hii imekaaje wakuu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Kiukweli natangaza rasmi mimi na mke wangu tuko mbioni kuachana rasmi katika muunganiko wa ndoa yetu kabisa kila mtu akatafute changamoto nyingine za kimaisha aisee Wakati namuoa tulikubaliana abadili dini lakini yeye amengeuka sana sasa tumeamua kuachana rasmi kila mtu atunze furaha yake...
  16. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Inaumiza sana ndugu zangu. Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu.. Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea. Inauma Sana ndugu zangu, Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
  17. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ameniorodhoshea mahitaji mengi utafikiri mimi ni babaake

    Nilimtongoza kwa Nia ya kumuoa, jobless aneorodhesha mahitaji mengi Hadi nikamchukia ghafla. Mtu alikuwa kwao hana mishe yeyote lakini anataka anataka maisha ya kifahari wakati kwao ni maskini. 1. Simu ya laki saba 2. Kusuka mtindo wa elfu 70 3. Begi la laki moja 4. Kiatu cha elf 50 5. Bundle...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hatimaye naenda kuumbuka. Mimi ndiye nilikuwa chanzo cha Unit 13.7 kuisha ndani ya masaa 8 hadi 12

    Habari zenu wana JF. Kama mjuavyo, nimeacha nyumba, mke wa mchongo na wanangu wawili huko Nanjilinji, nikaamua kuja Dar kusaka maisha. Hivyo nilifikia kwenye nyumba ya kupanga ambapo tu wapangaji watano, watatu wana familia na wawili akiwemo mimi tu mabachela Kero iliyopo ndani ya hii nyumba ni...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Nimemwelewa sana Mbowe, usipoteze imani na Rais Samia. Alivyo kwa Kauli na Matendo hawezi kuwa ni yeye!

    Wanabodi, Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe katika bandiko hili Mbowe: Najutia kumuamini Rais Samiahttps://youtu.be/Xjao83Ghy04?si=qSQTeSxIx_8B5a-L Kiukweli kabisa mimi nimemwelewa sana Mwenyekiti Freeman Mbowe hapa, na hata ningekuwa mimi!, I would have felt the same, but not...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Selfie kwenye Miradi: Mimi nimechoka kupata taarifa miradi kila siku tunatumiwa video na ahadi ya kukamilika miaka inasonga mimi nimechoka sijui nyie?

    Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio. Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi. Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi. Ni bora wanyamazee...
Back
Top Bottom