Mimi nikifika tuu, dakika 10 nyingi wanaanza

Baba Ndubwi

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
1,099
1,701
Wakuu salaam...

Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.

Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.

Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo, huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.

Je wakuu, hawa raia wana maana gani? Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?

Mrejesho:Mpaka naamka muda huu sikufanikiwa kusikia chochote.
Namsikia mke wa jamaa hapo nje anamuambia mwenzake jamaa kasafiri kenda Pemba kwao.
Iko hivi;Mimi napenda sana watoto hivyo hata kitaa hapa ndio rafiki zangu wakubwa(japo ni hatari kwa huku Zenji)
Ikitokea siku nimerudi mapema huwa nakuja na pipi au biskuti za kutosha nawapatia kama zawadi(Zanzibar wanaita sadaka)
Sasa tabia hii imepelekea wamama kwa wadada kunipenda sana lakini nawakwepa sina namna maana huku ni hatari kugusa mwanamke,umzamishe geto utashangaa haoooo na majamvi Wametupia kanzu.
Sasa nahisi huyu jamaa Mpemba ana wasiwasi kuwa naweza pita na huyo wife wake.
Jamaa zamani tulikuwa tunasalimiana fresh,sikuhizi hakuna na nikimsalimia ananyamaza tuu mpaka nikaamua kuacha.
 
Wakuu salaam...
Naishi uswazi..ile nyumba kubanana,milio ya mafeni usiku kucha na maredio.
Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.
Nawasha taa,kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu.
Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.
Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo,huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.
Je wakuu,hawa raia wana maana gani?
Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?
wakianza tu we pulizia dawa ya mbu afu nenda bar kazuge na safari mbili
 
Wakuu salaam...

Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.

Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.

Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo, huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.

Je wakuu, hawa raia wana maana gani? Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?
Mfanano wa ratiba. dronedrake njoo umuelekeze huyu cha kufanya
 
Mtoa mada
FB_IMG_1695695554910.jpg
 
Wakuu salaam...

Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.

Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.

Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo, huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.

Je wakuu, hawa raia wana maana gani? Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?
kuna jirani yangu alishawahi kumripoti mpangaji mwenzetu kwa tabia kama hiyo hiyo.

Huyo jamaa akiingiaga home kwake tu muda wowote tu haizidi dk20, mayowe na miguno ya ooh yes Yes Yes Yes inaanza utadhani watu wa ulaya, halafu sasa zinaanza pwaaaah pwaaaah pwaaaah pwaaaah kama zote mara utaskia pbwiiii , mbruuuu kijambio kinalalamika.

nyakati za mchana akiingia tu ndani wapangaji haswaa wanawake wanastuana, kwamba jamaa kaingia show karibu itaanza, kama kikundi kawambea wanajadilia na kujichekesha na vicheko vyao vile.....

baada ya mwenye nyumba kuthibitisha hilo, jamaa alielezwa na mwenye nyumba kwamba ,kodi yake ikisha atafute pengine na akasepa pasikojulikana.

wajuba wenye hulka kama izo washeni redio angalau kupunguza ukali wa pwaaa pwaaaa mnakosesha vijana usingiz.
 
Wanataka uhame hapo,wameshindwa kuambia tu

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu salaam...

Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.

Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa nyumba na madirisha kutazamana ni rahisi kwa jirani kujua nimesharudi.

Dakika 10 hazitimii chumba ambacho natizamana nao madirisha naanza kusikia mlio wa paaaa paaa paaa paaa fokoo fokooo fokooo, huwa nahisi wanakuwaa wanagegedana.
Na leo muda mfupi ulio pita ni mara ya 3 hii.

Je wakuu, hawa raia wana maana gani? Au mimi nikirudi ndio nakuwa nimewazindua ama?
Wanakutumia wewe kupata stimu au labda wakikuona wewe wanadinda
 
kuna jirani yangu alishawahi kumripoti mpangaji mwenzetu kwa tabia kama hiyo hiyo.

Huyo jamaa akiingiaga home kwake tu muda wowote tu haizidi dk20, mayowe na miguno ya ooh yes Yes Yes Yes inaanza utadhani watu wa ulaya, halafu sasa zinaanza pwaaaah pwaaaah pwaaaah pwaaaah kama zote mara utaskia pbwiiii , mbruuuu kijambio kinalalamika.

nyakati za mchana akiingia tu ndani wapangaji haswaa wanawake wanastuana, kwamba jamaa kaingia show karibu itaanza, kama kikundi kawambea wanajadilia na kujichekesha na vicheko vyao vile.....

baada ya mwenye nyumba kuthibitisha hilo, jamaa alielezwa na mwenye nyumba kwamba ,kodi yake ikisha atafute pengine na akasepa pasikojulikana.

wajuba wenye hulka kama izo washeni redio angalau kupunguza ukali wa pwaaa pwaaaa mnakosesha vijana usingiz.
Na hili swala sio zuri kuna jamaa nilipanga mahali tena yeye alikuwa analeta mishangazi night kali afuu mwalimu ananza kuchapa lishangazi lake linaanza kulia aaah eeeeh na anamchapa mchapa wee za fasta fasta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom