mimi

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili tatu sijawa mimi kabisa. Naanza kama hata kuugua

    Sijaelewa kama kuna mkakati watu wameaunda wa kuamua tu kuwa watulivu? Najitahidi weeeeh sipati wa kumkamua... Nauliza UMUGHAKA upo wapi? Wapi dorothea namugarika wapi dr namugari ? Dume la nyani nipo tayari kwa vita.... Sioni wapinzani humu.
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

    Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi. Ni bonge la mchezaji.
  4. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana mdogo ila nimezeeka ghafla

    Mimi ni kijana mdogo tu ila nimezeeka usoni yaani ghafla tu ile sura konki ya kiutu uzima mixer upara kwa mbali naviona mwilini. Nikitulia hâta bar wale machinga huwa wananiletea nguo na viatu vya kizee kizee yaani masuruali mabwanga ni viatu vya ajabu ajabu. Wale machinga wenye vitu vya...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlio tayari na Matokeo ya Simba na Jwaneng Galaxy nipeni kwani Mimi Mganga wangu tegemezi kapofuka Macho hivi punde tu

    Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vitengo vya habari viwe makini katika video na picha za Rais zinazotumwa kwa jamii

    Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio. Ushauri Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

    Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba. Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa. Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni...
  8. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kueleweshwa hapa

    Habari wanajukwaa, Baada ya kurudi kazini nimekuta barua hiyo hapa chini, kipengele kinachonichanganya ni hicho kinachosema risiti zote za ulipaji kodi ya ardhi. Nakumbuka miaka kadhaa serikali ulisema sasa pango ya ardhi na nyumba italipwa kupitia lulu na kweli tumekuwa tunakatwa kwenye lulu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Habarini, "Marriage-diggers" ni aina flani ya wanawake ambao maamuzi yao ya kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yako dictated na umri wao. Unaweza kuta mdada mzuri tu kimuonekano, ana miaka 28,29, au 30 yupo single hana mtoto, halafu anakushobokea kiaina, unamtongoza anakubali kirahisi...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ina kitu nasema ukweli kama mwana football bila kujali Mimi mwana Simba SC

    Ukiwa mtu wa Mpira na umecheza mpira na unaelewa mpira na unaenjoy mpira ni raha sana, leo nimefurahi, nimeshangilia, nimechambua, na raha nimeipata. Hongera Yanga SC hongera wana Yanga SC football ni raha sana. Mungu ibariki Tanzania Ni hayo tu 🙏🙏🙏 Wadiz
  11. Jadda

    JamiiForums Tanzania Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Ndio, kuna msemo unasema "with great authority comes great responsibility" yani kila mamlaka makubwa huambatana na majukumu makubwa, lakini jambo la kushangaza ni kwamba wanaume wengi hasa wa kiafrika wanayataka hayo mamlaka tu ila majukumu hawayataki Mimi naona ifike pahala dunia iachane rasmi...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
  13. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je ulifika third floor (30's) ukiwa huna unachomiliki wala kujivunia kama Mimi?

    Umaskini unatesa, umaskini unaaibisha sana, hakukosea aliyesema umaskini ni wa kuchukia na kukimbia, hakuna atakaye kujali mpaka utakapokua tajiri wazee. Ukiwa maskini kwenye ukoo watakuona kama mpiga kelele tu, imagine mtu mzima 30's napata kipato cha laki nne kwa mwezi, sina kiwanja wala mke...
  14. Fene

    JamiiForums Tanzania Kwangu mimi "Kikwete is the wisest Tanzanian president ever, he's intelligent"

    Mwamba ni wa kitambo, Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo Mwamba...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya music production studio yoyote Dar es salaam

    Habarini wapendwa,natumaini mnaendelea vyema.Samahani mimi ni kijana wa miaka 22,naishi Buguruni,Dar es salaam.Nina ujuzi katika kutengezneza beat,mimi sio professional sana ila ninajua na ninaweza kwa uwezo wangu. Kama kuna mtu anafahama studio ya muziki inayohitaji music producer tafadhali...
  16. Sitaki kuamini

    JamiiForums Tanzania To my JF family, nina DEPRESSION

    Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia. Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked. Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani. I'm in btn devil and deep blue sea.
  17. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Tafadhali jamani aisee! Kwa mujibu wa ukoo wa marehemu mimi ndiye mrithi sahihi wa mke wa marehemu

    Wajameni mimi ni mswahili kabisa na sifa moja ya mswahili ni ustaarabu na uadilifu aisee na wala sihitaji ugomvi na mtu yoyote ile aisee siku moja kabla ya msiba wa ndugu yetu tulikaa kikao na nikachaguliwa moja kwa moja kuwa mrithi sahihi wa mke marehemu mzungu wa nywele si mnaelewa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Lowassa: Mimi nilijiuzulu ili kuwajibika kwa makosa ya wengine

  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda asema kuwa akipita eneo lako na ukaona umetenguliwa na Rais basi juwa kuwa ni yeye na wala usimlaumu Rais

    Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini. "Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tulipita mkoa fulani...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Mimi nawakana, hawa sio Wakristo

    Shortcut matokeo yake ndio haya
Back
Top Bottom