Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey.
Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako.
Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
Wadau hamjamboni nyote?
Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa?
Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu?
Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea?
Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
Natumaini ni wazima ndugu zangu
Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu
Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako.
Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa.
Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
Nadhani heading mmeiyelewa .
Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda.
Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali.
Mniache kwa damu ya yesu kristo.
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ?
Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa,
siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.
NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi?
Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana.
Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao.
Kwa mfano hao...
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE
Ijumaa, Mei 17, 2024
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile hela ambayo ingeenda kutumika huko, ila bado naona ugumu kuitumia kwa lile jambo la 60.
Why kwake...
Maisha yangu kwa muda mrefu nimekuwa nikiwa mdau wa kupenda sana ku hang na marafiki, nilipofika kwenye 25 nikaanza ku hang zaidi na small circle ya marafiki watano tu ambao tupo karibu sana
Kwa sasa nina 36, nimeanza kuona hata hao wachache wa karibu ni kweli tunajuliana hali, kutembeleana...
Habari wadau.
Leo Airtel internet imenigomea kabisa.
Je, ni simu yangu ndio ina shida ama wengi imewakuta hiyo hali ?
Cha kushangaza simu hiyo hiyo nikiweka data line ya voda. Mtandao unafanya kazi vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.