mimi

  1. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

    Wakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabu.
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nimpe adhabu gani huyu memba aliyeniita mimi kiazi kwenye uzi wangu?

    Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi. Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
  3. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amefosi nimwambie ukweli na uongo kuhusu mimi, sasa ameninunia, nifanyaje?

    Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje? Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa Mteja: amenifosi nimwambie ukweli kuhusu mimi na uongo kuhusu mimi katika maisha yangu ambavyo sijawahi kumweleza mtu...
  4. Daby

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ashtakiwa baada ya kumtupa kwa nguvu mtoto wa Kiafghani chini

    Angekuwa mtu mweusi Kila maistream media ingeweka hii video. Ni Yale Yale mtu mwingine akiua watu kwa bunduki utaskia terrorist ila ngozi nyepe ataitwa a gunman who is mentally distorted. ================= Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la kushambulia mtoto wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Puuzeni Uzushi. Mimi Sijateuliwa Popote Pale

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi. Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
  6. Smile Digital Stationery

    JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri, ila hebu tujadili hili kuhusu Tundu Lissu

    Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida, hupenda sana kuunganisha Dot kwa yale yalonitokea, niloyapitia na hunipa mwanga kuwa naelekea wapi...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nani hao akina "na mimi mwenzenu"?

    Leo, June 21, 2025, JNICC katika kongamano la sheria kuelekea uchaguzi mkuu, lililoandaliwa na Chama cha mawakili wa serikali, Mh. Jakaya kikwete, amesimulia kisa cha kufikirisha sana. Kwakifupi sana; kisa hiki ni cha mlevi wa gongo, kuzamia kikao cha kahawa, na kujitambulisha "na mm mwenzenu"...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kama kuuwawa mbele ya kadamnasi kutasaidia sauti ya wataka haki kusikika, mimi nitafanya hivyo!

    Kadri siku zinavyoenda ndoto zangu za kuona ukurasa mpya umefunguliwa kutoka kwa Rais wangu zinapotea. Vitisho vilivyokuwepo kwa JPM tukaogopa sasa vimeongezeka. Tunatishwa, kupotezwa ama kuuwawa ama kunyanyaswa kwa namna yeyote ile. Wakulima, wafanyakazi kwa wafanyabiashara wote hatuna amani...
  9. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Najipiga kifua mimi ni kijana wa kuigwa, nimekua sasa

    Habari ndugu wana JF. Kwa majina yangu naitwa Mtoto kautaka, a.k.a indaba mtini wena, a.k.a saga manoti, a.k.a mgambo mwenye cheo, lakini pia unaweza ukaniita mmongoli. Niende kwenye mada, leo nimekuja mbele yenu kujigamba kwa kujiamini kabisa kwamba sasa mimi nimekuwa kijana mkamilifu, kijana...
  11. Adiya5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  12. USSR

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au dish limeyumba

    Haiwezekani sasa nimemeshatumia pesa nyingi kuahkikisha hili dishi linatulia zamani nilijua ni kwasababu ya hali ya hesa ila kila jioni sioni chochote sina hata raha sasa nimeita mafundi wengi tu na nyie mnaotumia azam mnatatizo hili la kukatika kwa matangazo na kusua sua USSR
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Kibatala alikuwa anapinga shahidi kuwa deferred. Kwangu mimi naona ni advantage kwa Kibatala. Kwanini?

    Kama ulikuwa ushahidi wa kutunga, ushahidi alioutoa akija on a latter date for cross examination , atakuwa amesahau! na hivyo unamkanyaga kisawasawa. Sasa kwanini Kibatala alikuwa nakataa?
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..

    Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja. Hapa nishapata sehemu ya uzinzii. Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane. Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....! Ujana maji ya moyo
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Mimi Dennis Robert Shughuru sina miaka 40 ya kugombea Urais wa Tanzania kama isemavyo katiba ya Tanzania natangazaje nia???

    Nilijua kwa kusema nina nia ya kugombea Urais wa Tanzania lazima watu watasema huyu ni kichaa, mwendawazimu, hawa vijana wa sahivi stress za maisha zinawasumbua, anatakiwa aende mirembe, afya la akili ni tatizo, maisha magumu nyie, huyu hata tofauti na deo kisandu n.k haya majibu na mengine...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Mimi mwanachuo

    Mimi ni mwanachuo nae soma education, Nataka nifute usajili nikaaply mwaka huu upya tena, Je inawezekana wakuubwa zangu
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanashindwaga kutumia condomu kama mimi?

    Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi? Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka, Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana...
Back
Top Bottom