mimi

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini manabii wote miuujiza wanakuja kufanyia mimi na siyo vijijini kwao walikozaliwa?

    Manabii wa makalio yao wapumbavu na kukosa akili kwao,nabii wako wasiwe wazazi wake awe yeye,alizalliwa na maajabu gani au alishafanya maajabu gani kwenye ukoo au kijijini kwake?masikini na wagonjwa wamejaa ktk ukoo wake na kijijini kwake asifanye miujiza huko aje afanye mijini???
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Katavi (hasa Mpanda) wanakata umeme bila taarifa, ni kawaida kukatika asubuhi kisha unarudi jioni

    TANESCO wamekuwa na kawaida ya kukata umeme bila mpangilio, hali ambayo inasababisha wanaunguza vitu vyetu, hiyo imekuwa tabia yao hawasemi tatizo, wanaporudisha wanaweza kuendelea na "mchezo" wa kukata na kuwasha ndani ya muda huohuo, hii inakera sana. Kuna wakati ratiba zao za kukata umeme...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Bado Mimi Nina hoji.Bilioni 100 ni za kampeni kweli? Huu ndo Muda mke jirani alitiwa mimba kavu kavu

    Mimi Bado Nina hoji bilioni 100 ni za Nini aise? Ni kampeni mnapanga kuifanya aise ccm seeni ni PESA za KUWAONGA wake zetu?
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Mimi mwenyewe ni msafi na chama changu ni kisafi

    Wakuu, Huyu baba leo kajua kujisafisha msikilizeni hapo anavyojipakulia minyama Salum Mwalimu anasema yeye ni msafi na chama chake CHAUMMA ni kisafi
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga mnishukuru sana mimi sio kama yule boss wa kinotibuku

    Yule boss wao kauziwa timu bilioni 20, badae akasema hatoi hiyo hela ila atanunua bonds za BOT na faida atakuwa anawapa, sahivi anasema alitumia bilioni 87 kununua boxer za kuvaa, mchicha na vitumbua kwaajili ya wachezaji. Sasa wenzenu wanadaiwa B 87 mimi siwadai wananchi hata 100 na nawaongeza...
  6. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Polepole: Msinishauri kuhusu maisha, mimi sina malengo

    Jamaa yupo yupo tu. Kasema msimshauri kuhusu maisha hana malengo
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

    Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali. Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 KUMBUKIZI | Dkt. Kigwangalla: Kama kuna mtu ataweza kushindana na mimi kwa vigezo, akachukue fomu. Nzega ni njema

    Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
  11. SIR MGAX

    JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kalenga inahitaji mtu sahihi wa kutumwa ambaye ni mimi naombeni kura zenu zote – Grace Tendega

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija. Akizungumza...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Mimi ndiye mke wenu mkubwa

    Ndugai amwaga radhi katika harakati za kusaka ubunge!
  14. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  15. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee . Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nataka mke aliye serious wakuoa mimi ni mtumishi wa private sector nipo wilaya za Dodoma njoo inbox mchumba

    Nataka mke wa kuoa mm ni mwanaume wa miaka 40 nahitaji mwanamke yoyote ambaye yupo tayari na yupo serious kuoana au kuwa MARAFIKI aje inbox awe tayar kupima HIV nipo online karibu sana, nnapoishi kutoka mjini Dodoma mpaka nilipo ni elfu 5 karibu sana
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni mimi tu huwa sipendezwi na chakula cha mgahawa na Hotelini?

    Wakuu sijawahi kula nikasema hiki chakula kitamu na kinazidi na chakula cha nyumbani. Niseme ukweli chakula cha nyumbani kwetu hata kama kimepikwa na mama yangu mwenye umri wa miaka 74 bado huwa nakiona kitamu na kila ladha asili kuliko chakula chochote cha hotelini. Nimeenda kwenye hoteli...
  18. MI-40

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni JF mnipokee

    Habari wanajamii mimi ni mgeni humu , ni kijana 30 male naomba mnipokee
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Fukuzeni Murtaza Mangungu, Salim Abdallah Mhene 'Try Again', Abbas Mratibu wa Timu, Mtani wangu wa Kihaya Meneja Rweymamu, Mtani wangu wa Kiha na Rafiki yangu Kocha Msaidizi Matola na badilisheni Dereva wa Basi la Simba SC halafu kuanzia sasa achaneni na huyo Mganga wa Kienyeji ambaye ni mwana...
  20. Noel france

    JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
Back
Top Bottom