Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

Adiya5

Member
Joined
Jun 5, 2025
Posts
92
Reaction score
227
Hello watanzania,
Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia,

Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote,

Mimi ni Mwanamke, elimu darasa la 7 ndio maana natamani kupata marafiki wenye upeo mkubwa kunizidi ili nijifunze mengi,

Ahsanteni
 
🙂🙂 unawezaje kua na rfiki usiemjua, mnawezaje ku connect
Inawezekana, mnapoanza kuconnect ndio mnapojuana na kama kuna vitu mnaendana mtajua tu, nina marafiki kadhaa nimekutana nao Facebook wengine wapo Nchi za mbali na tunawasiliana vizuri sana.
 
Back
Top Bottom