mimi

  1. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Wezi watakuja kuishika serikali na nahisi :Sio mimi ni socrate

    Nimeisoma hii hadi damu imenichemka. February 15, 399 BC alifariki na sasa watoto wao wanataka washike madaraka⁷
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi, nisingeruhusu Prof. Janabi agombee WHO kanda ya Africa

    Nionavyo mimi kule WHO kanda ya africa ni mahali sio pazuri kupeleka mtu kwa Tanzania tumeshapoteza watu wawili mysterious na sote tumewazika bila kujiuliza why haya yanatokea... Wakati kwa Tz tuna fanya siasa kwenye hii nafasi basi tukumbuke hii nafasi ni nafasi ya hatari na kama mnataka mpata...
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Navukaje hapa? Huyu mke mtarajiwa hana muda na mimi kabisa

    Kwa ufupi ni kwamba huyu binti tumejuana miaka kumi na moja imepita, Mimi nilikua advance yeye alikua madarasa ya chini, offcourse tumepitia vingi sana kuzinguana hapa na pale, kuna kipindi hapo kati nikaanza mitikasi ya kutafuta mke nioe, maana niliona huyu Mwanamke kama uchumba migogoro ni...
  4. Doto12

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu ameniblock na mimi nika mbock

    Yaani eti alinipa namba naipiga ameni block hii inamaana gani. Namimi nikaiblock. Sasa sijui nini nitatokea
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mimi nilimaliza chuo na miaka 33 kipata ajira na miaka 34 nikaoa na miaka 35

    Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34. Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
  6. Askarimaji

    JamiiForums Tanzania Siku niliyoamini kweli mimi mjomba ni sawa na mama😊

    Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je , tutapata fidia ya gharama tulizotumia? Mfano mimi nimeendesha gari toka Igunga mpaka Lupaso stadium.

    Gharama kubwa sana nimetumia. Nimeendesha zaidi ya km 1000 alafu Dabi linaahirishwa kihumi. Nani atafidia gharama zangu?
  8. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mimi sio mtabiri lakini niwahakikishieni simba atafungwa goli kuanzia mbili.....

    Uzi tayari........
  10. M

    JamiiForums Tanzania Member gani ameku-inspire katika jambo fulani

    Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani. LIST YANGU: 1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci. 2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI Ushimen, KENZY...
  11. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania Hoja ya "No reform, no election" mimi nakwenda na Lissu

    Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko. Hoja zangu ni hizi:- 1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke yake ndio anaweza kushiriki uchaguzi wa October, 2025 akiwa anajua kwamba asilimia 85 ya wagombea...
  12. yassird200

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unawezaje kukataa? Mimi siwezi kukataa!.

    habari wakuu!. wanaume ! kumbe mungu anaakili sana aisee hiyo jana nimejigundua kama ningekuwa mwanamke basi ningeitwa maharage ya mbeya...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenzagu tumeshaanza kuyaandaa Machozi, kwani Mimi sipendi Unafiki na Kufichaficha nadhani Israeli hatomuacha Mtu huko Vatican

    Kama Ulaya ndiko kuna Kila Kitu cha Kumzuia Israeli asikibonyeze Kitufe, ila wameshindwa je, kuna sababu ya Kufichana?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ninayeliona hili kwa Haji Manara na Mkewe Zaylisa ni Mimi peke yangu tu hapa JamiiForums au tuko wengi?

    Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache. Na hata nikimuangalia Mkewe...
  15. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Mimi ni VVU, mtoto pekee wa kiume wa mzee UKIMWI

    HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI) VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema; "Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
  16. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Simba bingwa asipochukua niulizwe mimi

    1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI 4....Waambie huo upande wa...
  17. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
  18. mamamzungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wewe mkaka wa Jamii Forums mimi mwenzio bado nakupendaa

    Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF... Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo. Mara ya...
  19. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nikigombana na mke wangu anafuta kila kinachohusiana na mimi kwenye simu yake.

    Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu. Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rafiki yetu! Alipopata Range rover! akaanza kutudharau mimi ni jamaa yangu!

    Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu" Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
Back
Top Bottom