Wana JF,
Kila ukiona wapiga kura wa DSM hasa wilaya za Kinondoni na Ubungo, wengine na wakina na tai shingoni walivosukumizwa kwenye yale mabasi kama matenga ya vitunguu naona kama kampuni inayoyaendesha either imeshakufa au haina muda mrefu.
Hivi huyo mkurugenzi huwa anajipimaje utendaji KAZI...
Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu.
Wewe kataa au kubali huo ndio ukweli ni hichi ndio kilichotokea tarehe 8/03 ndio kinachoanya gumzo kuwa kubwa ila...
Wataalamu msaada wenu tafadhali nimechoka kupanga nina kaeneo kangu ka miaka nenda rudi, na mimi nataka niamie kwangu. Bei gani hii nyumba nataka niamie ndani ya siku mbili hizi.
Bure kabisa fatilia hapa
Natoa ofa kuanzia leo Nitajie kiwanja chako kina ukubwa gani mimi nikwambie unaweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi vya kulala
Wasalaam Eng James 0743 257 669
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua tunamtukana Mangungu kwamba katyuza halafu ghafla tukasahau Kwa chawa wakina kisugu na kina mzarami...
Hatuwezi Fanya uchaguzi Kwa kelele hizi zilizopo,
Uminywaji wa haki ya kuchagua na kuchaguliwa utasababisha machafuko huko mbeleni na wananchi kukosa Imani na serikali!!
Ni aibu kuona jeshi la polisi likizunguka kanisa na silaha za moto kana kwamba Kuna tishio la kigaidi!!
Nitasimamia reforms...
Ndugu zangu naandika huku natememeka, kulia nataka kucheka nataka yaani kiufupi sijielewi,
Nilikua nikisikia sana watu wakisema usiseme mipango yako, usiamini watu hata akiwa mzazi wako, watu wanatia nuksi, vijicho, husda kiukweli hiyo misamiati kwangu ilikua haipo kabisaaaaaaaa ila sasa...
Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida.
Je nawe umeona hili, mwisho wa haya itakuaje?
Mimi ni dereva wa tax mtandaoni maarufu kama bolt , na uber nina leseni yenye daraja c pia ninauzoefu na kazi hii. Ninatafuta gari ya hesabu. Ni dereva mwaminifu na mtunzaji wa gari. Gari ya mafuta hesabu 150000. Gari ya gesi hesabu 200000. Ninapatikana kwa namba hizi. 0628192114. 0786094712.
Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri.
Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu.
1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo?
Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k.
Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri.
Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri.
Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje?
Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu.
Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu.
Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli.
Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani.
Sasa...
Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana".
Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI.
Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo...
Ukweli.
Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan.
Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki.
Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi
Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa.
Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani
Lkn hawa wanaohama sasa...
Fumanizi ni two way traffic linamuumiza aliyefumania na aliyefumaniwa tulia nikupe mkasa wa kufumaniwa na mke wa mtu mama Vanesa sio jina halisi.
Toka nimeanza kujitegemea maisha hayajawi kuwa mepesi siku za furaha ni chache ukilinganisha na siku za stress, visanga na majuto mwaka 2022 katikati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.