Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..

Picha: Mimi ni kijana wa hovyo..

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,213
Reaction score
6,515
Wale vijana ambao hawana mchango katika hili taifa basi Mimi ni namba moja.

Hapa nishapata sehemu ya uzinzii.
Kama wewe hujawai kuzini basi naomba unitukane.

Kama umewai kufanya huu upumbafu basi ukinitikana hakikisha umejitukana....!

Ujana maji ya moyo
 
"Pombe sigara, naweza acha bila kung'ang'ana,
Lakini hawa waschana vile nawependa ni kama laana"

Niko nasikiliza huu wimbo.
 
Ila madem sometimes wana maswali ya kijinga. Hapo anataka atongozwe kwanza
 
Mada Kama hizi mtakishia kuota vitambi na kuwa watumwa wa wanasiasa motherfucker
 
Back
Top Bottom