Nauliza hili swali wanaume wenzengu,kuna baadhi yenu wanaoshindwaga kutumia Condomu kama mimi?
Yaani hata ningevaa tatu kwa mpigo mwisho wa siku huwa zinaishia kupasuka,
Sina uwezo kukojoa ndani ya ndomu,ninaweza hata kukaa zaidi ya saa zima kitu kinashindwa kuachia,matokeo yake ni kugombana na muhusika na nikilazimasha condomu itapasuka
Lakini ngoma ikiwa kavukavu hamna tatizo lolote lile dk 30 mpaka 45 kitu na raha zake