mimi

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasemwa kwa haki kabisa kutokana na mwenendo wa uongozi wake. Sijui kwanini anaona anaonewa? Mimi simuelewi kwanini aone hivyo

    Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa anaweza kubadilika na akaongoza vizuri tu kwa kufuata uelekeo mzuri. Tumwambie kuwa uelekeo alipo ni kama sisi watu wa Tanganyika tunaona hatupendi. Tumwambie tu hata kama ataendelea kuchukia sisi tuendelee kumwambia tu. 1. Kwanini amefungia mtandao wa Twitter...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mgeni humu ndani ninaombeni wanachama wenzangu mnipokee

    Habari zenu Wana Member wa Huu Mtandao mtukufu waJamiForums hamjambo? Mimi ninaitwa kw ajina Dr. Matumbili ni mtaalaam wa dawa za asili ninaishi hapa jijini Dares-Salaam ninaombeni munipokee nitashukuru kw akunikaribisha katika mtandaao wetu mtukufu wa jamiiforums ili tupate kushauriana kwa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha lakini mimi sijui mission yangu, je nipo alone ?

    Niliwahi kusikia Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha, Mfano ni mtu kama Lissu mission yake ni ukombozi haijalishi hata akishindwa, Mrisho Mpoto ni kutukumbusha asili zetu kupitia muziki haijalishi hata kama mziki haumlipi, n.k. Nikiwa shuleni hadi chuo maisha yangu...
  4. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe akienda CHAUMMA wengi tutakuwa mwanachama wa CHAUDEMA

    Wengi ni wakereketwa wa CHADEMA, chama makini, lakini pia wengi wanamkubali Freeman Mbowe kama mwanasiasa mahiri. Kama Mbowe atakwenda CHAUMMA wengi wetu itatubidi tuwe wanachama wa CHAUDEMA ili tufaidi vyote.
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufanya content YouTube. Kipi bora nipromote video mimi mwenyewe ama nimlipe mtu apromote

    Na ili niweze kuwa na access ya kupromote hiyo video natakiwa kuwa na vitu gani? With much thanks in advance
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kapunguza safari za nje au ni mimi tu?

    Hivi ni mimi tu au ni kweli kapunguza safari za nje? Kuna wakati huyu Rais wetu alikuwa hakai nchini kwa muda mrefu. Kila fursa ya kusafiri kwenda nje ya nchi alikuwa hailazii damu. Fursa za safari alikuwa anazikamata kweli kweli. Nakumbuka alikuwa anapenda sana kwenda Marekani. Sasa...
  8. FYATU

    JamiiForums Tanzania Kwamba kama Baba angemuoa Mama mwingine nisingezaliwa mimi?

    Au kwa upande mwingine kama Mama angeolewa na Baba mwingine nisingezaliwa mimi?. Nimetumia neno "kuoa kuolewa" kuilinda staha badala ya neno "kukutana". Huenda ikawa kama swali tusilopaswa kujishughulisha nalo sana ali miradi wewe tayari upo basi ISHI. Lengo hapa ni kukumbushana iwapo hivyo...
  9. dorge

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hata mimi ningalihama CHADEMA kwa sasa

    Vijana wanataga kugombea ubunge. Udiwani halafu mnawabania kwani chama hakishiriki. Hata mimi ningalihama chadema kipindi hichi Ukisha uchaguzi wote hao watarudi chadema kama alivyorudi Dr Slaa. Wapinzani wa Zanzibar Pekèe yao ndio roho ya paka katika siasa za upinzani Lkn hawa wanaohama sasa...
  11. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mimi na Mama Vanesa experience ya fumanizi

    Fumanizi ni two way traffic linamuumiza aliyefumania na aliyefumaniwa tulia nikupe mkasa wa kufumaniwa na mke wa mtu mama Vanesa sio jina halisi. Toka nimeanza kujitegemea maisha hayajawi kuwa mepesi siku za furaha ni chache ukilinganisha na siku za stress, visanga na majuto mwaka 2022 katikati...
  12. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Leo na mimi nimeamua kuandika

    Wala sina mambo mengi zaidi ya kusema nampenda sana mke wangu Ester, huyo mtoto wa kichaga ananimaliza sana. Mungu akulinde sana Ester wangu.
  13. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Ninakinai wanawake haraka sana,ni kawaida au nina changamoto zingine?

    Mko poa watu wa Mungu! Kuna hali flani ya kukinai wanawake mapema kabisa inanitokea nashindwa kuielewa ni nimerogwa au ni kawaida? Naweza nikatumia gharama kubwa kumfukuzia demu ila nikishampata na nikamgegeda mara moja tu,naloose interest na yeye kabisa.au pia naweza nikaopoa tu wale mademu wa...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Watu wenye sura perao, unaposema “ mimi ni handsome “

    I mean personal. “..we ni shoga” “..hamna mwanaume hapa” “.. one man down” But the truth prevail
  15. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikitoboa hata nusu ya malengo yake ambayo hayapo bayana hadi sasa mimi binafsi nitahamia Congo

    Juzi tarehe 7. Nikienda kujiandikisha kupiga kura ..... Ile nyomi nimejikuta pale Hadi nakauliza kwa sauti, nikasema "" wazee ivi uchaguzi si tumesema haupo mwaka huu ??? Mbna mmekuja kwa hasira Sana kujiandikisha Sasa ?? Bas wadau wakanijib kuwa ni CHADEMA Ndiyo haitashiriki Ila sisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mimi

    Wanajamvi poleni na mihangaiko ya kila siku, mambo ni mengi kwenye nchi hii, hekaheka kibao, wengine wanafatilia kesi ya Lissu, wengine Bunge la Dodoma, wengine Bunge la Ulaya (EU), wengine Simba na Yanga, mambo ni Mengi. Ungepata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania, ni mambo gani mazuri matano...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe mtarajiwa alifurahi baada ya kusikia mimi ni playboy

    Maajabu hayaishi Juzi kati nimeenda nyumbani kwa binti mmoja mbichi kabisa mara mama yake akatokea Mtu mzima mwenzangu hapohaponikamwambia nimempenda binti yako nataka kumuoa Mama mkwe akaniuliza maswali kadhaa kumbe alitaka kunichunguza Wananzengo wakadema huyo baba hana shida ana roho...
  18. excel

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa, awe sealed kama mimi😭😭

    Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
  19. Trainee

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mdau mkubwa sana wa movies zilizotafsiriwa lakini kuna maDJ wanaharibu sana hizo muvi

    Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato kwahiyo ile kauli ya kuwaita wezi siyo vizuri Tatu, siyo watu wote wanaweza kuangalia movie huku...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
Back
Top Bottom