Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

Omary - Msamalia

JF-Expert Member
Jan 19, 2020
2,079
4,510
Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme...

Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3.

Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa taarifa kwa sababu mimi ndio mtu anaye amini ni muhusika mkuu Sterling wa hii movie. Binafsi niko tayari kulea hiyo mimba na mtoto,

Swali langu je kuna namna tofauti ya Kisaikolojia ya kudungua 100% kuwa mimi ndio streling hakuna nigga mwingine aliyejiongeza muda karibu na huu?

Nikichelewa kujibu SMS au kupokea simu nakuta malalamiko na. Ujumbe... 'I will kill this kid'
 
Ha ha haaaaa eti "I will kill this kid" hapo umepigwa pia huyo ManZi ni mjinga sana pia hata wewe usipokuwa makini atakufanyia hvyo hvyo kama anavyotaka huyo mtoto aliye tumboni mwake.
Am done. ✅
 
Back
Top Bottom