Naomba ushauri kuhusu hili la mimba

Ommossani

Member
Apr 13, 2013
53
20
Wapendwa habar za jumapili,

Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na yy mwenyew kiafya hayupo sawa.

Tumepanga tuitoe ila hatujapata ushauri wa kitaalamu kuhusu njia sahihi y kulitatua hili tatizo. Naomba anayejua anisaidie maarifa juu ya hilo. Karibuni kwa mawazo
 
Akijifungua kwanini msitumie kinga mkeo hajipendi kuzaa tu KWA lisu kunauma na huyu kazaa mfululizo na mtoto ana mwezi duh huruma nendeni tu KWA gynologist awashauri maana hyo mimba ya tatu isije ikakua ikafunua mshono
 
asitoe alee mtoto na ujauzito muhimu aende kituo cha afya

mnataka kuua kiumbe kisicho na hatia kwa starehe zenu damu yake itawalilia ni dhambi kuikatili nafsi.
 
Usitushirikishe mauaji,amua mwenyeewe na shemeji.Ila mkuu shemeji yuko sharp kwa mgegeedo!!
 
kutoa mimba kunaweza leta shida kwa mama mjamzito,cha muhimu muue huyo mtoto mdogo mwenye mwaka mmoja ili kumnusuru mama na kiumbe tumboni.

kama unaona ngumu basi mwache dogo aje tu,tumia dawa za kienyeji kuzui madhara kwa mtoto wa mwaka mmoja
 
Usiue! Hakuna mimba inaingia kwa bahati mbaya, kila kiumbe hai duniani na (tumboni) ni mpango wa Mungu, no excuses!
Come on acha mkeo ajifungue mlee mtoto you never know mtoto atakuja kua nani.

True story

Bibi yangu wakati bado kijana alipata kazi alikua mjamzito, kazini wakamwambia hawataki mwanamke mjamzito hivyo ni lazima aondoke au akatoe mimba, ilibaki kidogo akubali lakini Mungu alimgusa akakubali kuondoka kazini, akalea ujauzito mpaka akajifungua uncle wangu, ambaye katika watoto wake wote yeye ndiye mwenye kazi nzuri na ana pesa nyingi kuliko wazao wote wa tumbo lake
Yeye ndiye anaye play part kubwa sana katika kuwasaidia wao na nduguze kwa ujumla.

Nakushauri na ninakuomba binafsi usifanye hicho kitendo pia walatini wana msemo wao wanasema

Vox popul Vox Dei (Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu) naamini wengi sana wamekushauri mkeo ajifungue na wapo wengine watakuja kukushauri hivi mpe mtoto nafasi ya kuishi narudia tena hakuna mtu aliyeumbwa habati mbaya wote ni mpango wa Mungu so no excuse!)
IMG_20210117_222449.jpg
 
Back
Top Bottom