Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo.
Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
Fedha hizo zimetolewa na Serikali ya Ubelgiji kama nyongeza ya fedha zacawali zilizotolewa ambazo no Euro Milioni 8, hivyo kufanya jumla ya fedha zote kuwa Euro milioni 12 sawa na tshs 33 bilioni
Malengo ya msaada huo ni kusambaza maji katika Wilaya zote 6 za Mkoa wa Kigoma
Katibu Mkuu wa...
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura.
Zaidi ya Wakenya milioni 1.4 wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji msaada wa dharura. Shirika la msalaba mwekundu nchini humo limesema maeneo yaliyo...
Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
Kamati ya siasa wilaya ya Kisarawe wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri kutoa uthibitisho wa namna walivyotumia tsh 56 milioni kujenga matundu machache ya vyoo tena chini ya kiwango
Wajumbe wa kamati hiyo wamesema halmashauri ya Mkuranga imejenga matundu ya vyoo kama hayo na kwa ramani hiyo hiyo...
Mwenyekiti wa CUF Profesa Lipumba amesema ukitumia vigezo vya dunia kutathmini hali ya maisha ya watanzania basi zaidi ya nusu ya watanzania ni mafukara wa kutupwa.
Lipumba amesema zaidi ya watanzania milioni 28 wanaishi kwa umaskini uliopitiliza.
Ramadhan Kareem!
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa
Utekelezaji wa agizo hilo...
Ndugu zetu kila siku mnatutambia namna kwenu huko hela zipo na mnafanya vyote hivyo kwa hela ya ndani, ilhali taarifa zinaonyesha namna deni lenu limekua ghafla kwa miaka michache, heri sisi ambao huwa tunakiri kufanikisha hii miundo mbinu yote kwa mikopo japo pia uchumi wetu ni mara mbili ya...
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki,
Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu
Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo
Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini.
Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
Milioni 2 naweza fanya biashara gani ambayo utanisaidia kupata pesa ya kula kila siku na akiba angalua 10000 kuweka?
Mimi ni single mama ninaehitaji kujishughulisha ili niishi vizuri na mwanangu.
======
Michango wa mdau
Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema theluthi ya wakazi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na njaa kali na wametoa wito wa kuongezewa fedha za dharura ili kukabiliana na janga hili.
Shirika la chakula duniani (WFP) na shirika la chakula na kilimo yamesema , hali...
Nawasalimu kwa jina la Muungano.
Wakuu kama Rais wetu mpendwa alivyosema leo mamlaka hii imefanya vikao 27 vya bodi ya mamlaka hiyo kwa mwaka jana pekee na wametumia kiasi cha shilingi bilioni moja kama posho za vikao tu.
Haya yote yamefanyika chini ya Rais wetu hayati John J P Magufuli...
Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka.
Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
Habari wanajukwaa.
Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi ya miaka miwili na NGO x hapa Nchini, kutokana na msoto uliopo kitaa niliona ni vyema nijibane niweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.