"Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo.
Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
Habari za hivi punde ni kwamba jezi mpya zaidi ya Milioni 1 za klabu ya Yanga zimenunuliwa ndani ya masaa 6 tu tangu kuzinduliwa kwake.
Eng. Hersi amethibitisha rekodi hii iliyowekwa na timu ya wananchi na kushangazwa na mapokeo makubwa ya jezi hizo mpya.
Jezi hizo zinauzwa Tshs. 28,000/= kwa...
Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
MILIONI 400 KUJENGA MAJENGO MATANO YA KITUO CHA AFYA CHA MTOA - IRAMBA.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea kufanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi ambapo akiwa kata ya Mtoa amesikiliza kero za wananchi na kufuatilia ujenzi wa...
Messi (34) amekubali kujiunga na PSG baada ya kuondoka katika Klabu ya FC Barcelona aliyoichezea kwa miaka 21
Inaelezwa atasaini mkataba wa miaka 2 wa thamani ya kulipwa Paundi Milioni 25 (baada ya kodi) kwa mwaka.
---
✍Lionel Messi amefikia makubaliano na PSG kujiunga nao akiwa mchezaji huru...
Pata kiwanja 10 kwa 10 kwa shilingi milioni mbili tu eneo la mbezi mzalendo. Usafiri wa bajaji toka mbezi stend ni 1000 tu. Eneo ni kubwa hivyo unakatiwa kutokana na ukubwa unaotaka na hela uliyokuwa nayo.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0716694624
Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo.
Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
Dodoma. Serikali ya Tanzania imefungia laini za simu 18,622 baada ya kubainika kufanya matukio ya uhalifu nchini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndungulile leo Jumatano Julai 28 2021 wakati akifungua mkutano wa mapato na matumizi wa wizara na...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa za taasisi ya elimu ya juu, kwamba Tanzania yote huko wataalam ni asilimia 3.3% ya mamilioni ya raia wake......shughuli bado sana kuelekea kwenye uchumi wa viwanda unaohitaji ndani kuwe na wataalam wa kutosha kupokea ujuzi wa wageni.
==============================...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
barbara gonzales
haji manara
hataki
klabu
kuondoka
kwanza
lazima
likizo
mashabiki
mawazo
mbali
mgando
milioni
mkataba
mshahara
muda
sahihi
siku
siku 7
simba
wachezaji
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo.
Mtanzania
UKAGUZI maalum unaoendelea kufanyika katika miamala ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Nchini (NHIF) umebaini kuwepo kwa ubadhirifu wa zaidi ya milion 520 mkoani Kilimanjaro.
Ubadhirifu huo unaohusisha watumishi sita wakiwamo kutoka na hospitali za rufaa ya Kanda KCMC na Hospitali ya Rufaa ya...
"Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?"
"Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe
Pia...
a ) Zijenge Sanamu ya Mtu tu?
b ) Zifidie Wafanyabiashara wote walipoteza Mali zao kwa Moto Kariakoo?
c ) Zijenge sehemu zote za Soko la Kariakoo ambazo zimeharibiwa ( zimeungua ) vibaya na Moto?
d ) Zisambazwe Tanzania nzima (Mikoani) ili zitumike katika Kutoa Elimu ya Vitendo kwa Watanzania...
Shamba la ekari 100
linauzwa, Tshs milioni 12 (laki 1.2 kwa eka 1)
zao la korosho inakubali Sana hapo.
SHAMBA lipo wilaya ya manyoni kijiji cha (....) mkoa wa singida.
Shamba linakubali sana zao la KOROSHO
mazao mengine yanayokubali hapa ni karanga, alizeti, ufuta, njugu, mihogo...
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k.
Waliwezajekuingiza pesa hizo?
Ndugu zangu!
Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana.
Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi.
Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.