Kuna uhusiano gani baina ya Makanisa ya Upako na Watu wa mikoani. Kwa sababu ndio waliojazana Huko.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,895
Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.

Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.

Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?

Mwenye majibu tafadhali.
 
si hivyo tu,
hata wafanyabiashara wengi sio tu karioakoo bali pia katika masoko mengi humu jijini ni kutoka mikoani 🐒
 
Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.

Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.

Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?

Mwenye majibu tafadhali.
Leo umeonesha kumbe ni nweupe kichwani, mtu kuzaliwa na kuishi dar miaka 20 unaona keshaacha kuwa mtu wa mikoani? Keshakuwa mtu wa pwani? Utakuwa mtoto sana wewe. Unajua Mwamposa amekaa dar miaka mingapi?
Huko kote unakosema ukikaa nje ya Tanzania huwezi kusali kwenye makanisa ya upako unadhani wanaosali haya makanisa kwa tb joshua wametoka Kigoma, Arusha, Ruvuma nk?
Au ulitaka waislam ambao ndo wakazi wa pwani ndo wajae kwenye hayo makanisa?
Leo huna hoja.
 
Vijana wakishiba ugali utumbo uliopikwa na panado wanajiharishia tu humu mitandaoni.

Tukubaliane na hoja yake, kwamba ni wa mikoani, so what? Kwamba wakiwa wa hapa mjini daslamu hawapaswi kusali kwenye makanisa ya upako? Kwani kusali kwenye kanisa flani ni kutokana na ulipozaliwa ama pale moyo wako unapopenda?

Hata ndio madhara ya division five ile ya Kikwete, zero brain.
 
Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.

Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.

Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?

Mwenye majibu tafadhali.
Sidhani, ila itoshe tu kusema ni kipimo tosha sana cha akili za watu ndani ya jamii.
 
Habari za jumapili!

Kama kichwa kinavyojieleza. Nimegundua kuwa huwezi kukuta mtu aliyezaliwa au kuishi Dar es salaam Kwa zaidi ya miaka 20 ukamkuta kwenye haya makanisa ya Upako.

Au huwezi kumkuta mtu aliyewahi kuishi nje ya nchi, nazungumzia nchi za Ulaya, Amerika au Asia. Na kidogo South Afrika. Huwezi kuwakuta kwenye haya Makanisa ya upako.

Kama utafuatilia utagundua asilimia 90 ya wanaoenda kwenye haya makanisa ni sisi wa mikoani, Watu wakuja.
Hii inamanisha nini hasa. Je ni upi uhusiano wa Makanisa ya Upako na sisi Watu wa Mikoani?

Mwenye majibu tafadhali.
Emeandika kwa kusikia bila uhalisia ,ungejua kuwa unaandika uongo usinge eandika haya maupupu

USSR
 
Pale mbona Kuna watu kibao nawajua wakitoka marekani huwaga wanasali pale kwa mwamposa na wengine wengi TU wa ulaya wanasali pale labda kama unaishi kwa dhana na story za vijiweni au nenda kawe jioni Ibada ikiisha utawakuta wazawa wengi sana wanasali pale

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mikoani hakuna wahubiri hao. Trending ya wahubiri hao mikoani ni kubwa sana, kila mtu anataka akawaone wahubiri hao walioko jijini dar. Na ni shughuli pevu kuwaona hata ukifika dar. All in all hao watu wa mikoani ni wapuuzi wasiokuwa na imani kwamba Mungu anaweza kuwaponya hata mikoani huko huko waliko
 
Leo umeonesha kumbe ni nweupe kichwani, mtu kuzaliwa na kuishi dar miaka 20 unaona keshaacha kuwa mtu wa mikoani? Keshakuwa mtu wa pwani? Utakuwa mtoto sana wewe. Unajua Mwamposa amekaa dar miaka mingapi?
Huko kote unakosema ukikaa nje ya Tanzania huwezi kusali kwenye makanisa ya upako unadhani wanaosali haya makanisa kwa tb joshua wametoka Kigoma, Arusha, Ruvuma nk?
Au ulitaka waislam ambao ndo wakazi wa pwani ndo wajae kwenye hayo makanisa?
Leo huna hoja.
mkuu kula5 umetisha mbaya
 
Back
Top Bottom