mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Napendekeza matumizi ya TEHAMA kuwa chaguo namba 1 kwa shughuli za Serikali, mambo yote ya Kiserikali yatumie mifumo ya TEHAMA. Waziri wa Fedha amesema kuwa Matumizi ya TEHAMA yanawezekana na itaokoa gharama kubwa kwa serikali. Amesema kuwa unakuta mtu anasafiri siku 3 au 4 kwenda kuhudhuria...
  2. Profesaa

    JamiiForums Tanzania Nafazi za kazi/ajira zinazotolewa na Serikali ni vyema zote kuwa katika mifumo ya PDF kama zinavyofanyika nyingine na kusambazwa

    Habarini Ndugu zangu, NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI 1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
  4. J

    JamiiForums Tanzania TBS: Yakabidhiwa Cheti cha ithibati ya utoaji huduma za uthibitishaji wa mifumo ya kimenejimenti

    TBS YAKABIDHIWA CHETI CHA ITHIBATI YA UTOAJI HUDUMA ZA UTHIBITISHAJI MIFUMO YA KIMENEJIMENTI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb), akikabidhiwa cheti na Mratibu kutoka taasisi ya Huduma za Ithibati za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCAS), Bw. Victor...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hili la wanasiasa kushambulia taasisi ni wazi kuwa hakuna mifumo Tanzania

    Imeibuka hulka ya wanasiasa kushambulia taasisi na watendaji majukwaani. Ni dhahiri kwamba mifumo ina mapungufu. Hivi PM anashambulia taasisi au mtendaji ambaye juu yake kuna bodi, katibu mkuu na waziri, hii ni hulka gani? Micromanagement sio ideal. Yupo mmoja alihangaika na principal officers...
  6. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma!

    Bilioni 100 za Makamba zitumiwe kufunga mifumo ya gesi kwenye usafiri wa Umma! Nimekadiria jiji la Dar tu kuwa na dala dala si chini ya elfu hamsini ambazo zinatumia mafuta ya zaidi ya Bilioni 150 kwa mwezi ambazo ni zaidi ya trilioni moja kwa mwaka. Kuliko kuzipeleka fedha hizo kwenye kutoa...
  7. gimmy's

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kama mmeshindwa kuandaa mifumo mizuri ya watu kuomba ajira ni bora mkarudisha zama za posta. Mfumo umekuwa usumbufu

    Wanabodi salaam! Serikali kupitia Tamisemi wametangaza ajira tar 20 mwezi huu kwa kada ya afya na elimu.Tunaishukuru serikali kwa hizi ajira kwani kimsingi hali ya ukosefu wa ajira imekuwa janga nchini. Tatizo lililopo ni mfumo(system) kwenye uombaji hizi ajira unamatatizo yanayopelekea watu...
  8. mathsjery

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Jipatie tovuti na mifumo ya biashara ama taasisi kwa bei poa

    Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo itategemea na unachotKa, Location mwanza , remotely tunafanya kwa uaminifu kabisa. Maswali pm ipo wazi
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya Mifumo ya Umeme Katika Reli ya Kisasa (SGR) Dar es Salaam - Morogoro MOROGORO

  10. W

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi kushirikiana na Korea kubadilisha mifumo yake kuwa ya kidigitali

    Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji, upimaji na uwekaji kumbukumbu za sekta ya ardhi kutoka analogia kwenda digitali ili kuboresha sekta...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?

    Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE

    Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written. Siyo mbaya kwa waliofanikiwa...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali kitengo cha TEHAMA: Kwanini mifumo yenu mingi ya online/kimtandao inasumbua sana tatizo ni wataalam au vifaa duni?

    Mifumo mingi ya serikali ikisha pata watumiaji wengi tayari inasumbua sana tena sana na kuna wakati haipatikani kabisa tatizo ni nini? vifaa duni au wataalamu wenu mlio nao huko hawana uwezo? Yani unaweza kukuta vi websites binafsi tu vinawatumiaji karibu milion lakin viko haraka sana lakini...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Blockchain; Mfumo uliokuja kuvuruga mifumo ya kibenki na ndio kisa hupigwa vita (decentalized system)

    HELLO GUYS! Baada ya kusubiri muda mrefu kidogo tukisubiri tuweze kuongezeka napenda kuwakumbusha kuwa hapa ni sehemu salama zaidi na mafunzo yote yatatolewa bure bila malipo yoyote na tutajitahidi kila siku kuleta angalau somo moja ili kufikia malengo ya kila mmoja kuweza kuelewa nini maana ya...
  15. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

    "...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia. My take; Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?! Je, wenye dhamana za uongozi katika...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya kikabaila na kibwenyenye katika utumishi wa umma ndio chanzo kikuu cha Rushwa na ufisadi

    Habari! Rushwa si tabia ya mtu ya kuzaliwa nayo, Rushwa inatengenezwa na mazingira. Hapa nazungumzia rushwa katika level ya utumishi wa umma. Kijana anaanza kazi ofisi ya umma analipwa laki 5 huku akibahatika kuona salary slip ya bosi wake anakuta imeandikwa 7 million. Na marupurupu juu. Hata...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

    Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha mifumo ya nchi nyingine ni kuzusha matatizo ambayo mwisho wake ni mbaya

    Katika miaka ya hivi karibuni dunia imeshuhudia madhara ya mwelekeo wa dunia ya ncha moja (unipolar world), na matendo ya umwamba yanayotokea duniani kutokana na hali hiyo. Tunaweza kukumbuka baada ya shambulizi la kigaidi la Septemba 11 2001, aliyekuwa Rais wa Marekani Bw. George Bush alipotoa...
  20. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa tiGO katika Organogram ya Kampuni ni mtu mdogo sana, hawezi kuwa na access na mifumo yote aliyoitaja

    Kampuni yoyote, hasa kampuni kubwa kama tiGO inakuwa na organization structure yake ambayo iko well organized. Mwanasheria sio part ya management bali ni muajiriwa wa kawaida tu ambaye kwa kawaida huwa wako chini ya Idara ya Rasilimali Watu. Lazima wana departments kadhaa ambazo kila moja ina...
Back
Top Bottom