Nafazi za kazi/ajira zinazotolewa na Serikali ni vyema zote kuwa katika mifumo ya PDF kama zinavyofanyika nyingine na kusambazwa

Profesaa

Member
Dec 18, 2015
6
4
Habarini Ndugu zangu,

NAHITAJI MSAADA WENU KATIKA HILI

1. Ninapata changamoto hii ya suala zima la ANUWANI SAHIHI ya kujazwa kipindi natuma maombi ya kazi katika mfumo wa ajira portal. Mfano kuna baadhi ya post nafasi za kazi unakuta umeandikiwa moja kwa moja anuwani ya kuwasilisha maombi yako chini ya tangazo hilo, lakini yapo matangozo mengine ya nafasi za kazi unasoma mwanzo mwisho haoni au kukuta anuwani bali unaambiwa maombi yote yafanyike kwa kuingia katika tovoti ya Ajira Portal.

Mfano CHANGAMOTO kama hii ya HELBS AJIRA ZILIZO TANGAZWA 05/06/2022 tangazo lake sijui anuwani ipi sahihi ya kutuma maombi.

SWALI:

JE, ANUWANI IWE ya wao HELBS au ya KATIBU MKUU OFISI YA RAIS
 
Mmmh soma vizuri ilo tangazo lakini address ni ile ile ya Secretary as usual...na bora tu address tunayoitumia n moja na wnyewe wanatangaza izo kazi kwa niaba ya izo taasis zilizoainishwa na mchakato wote wa ajira wanafanya wao,ukiacha ajira nyingine ambazo wao hawasimamii
 
Back
Top Bottom