mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Tasmini baada kuanza kwa mifumo ya usajili kwa alama za vidole

    Salaam Wakuu. Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza: 1. Je mfumo huu...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Usimamizi mbovu wa mifumo ya huduma mtandao hutumika kuiba mabilioni katika kutoa huduma. Rais, agiza ukaguzi wa mifumo yako utanishukuru

    Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja yakuikumbusha serikali umuhimu wa kufanya ukaguzi maalumu katika mifumo ya utoaji huduma zinazolipiwa kwa...
  4. VAPS

    JamiiForums Tanzania Watawala boresheni mifumo tuendane na kasi ya dunia

    Kujisahihisha na kuchukua uelekeo sahihi na makini ni Jambo la kiugwana. Vijana wa Tz wanapotoshwa sana, maisha sio rahisi ki hivyo sio kila mmoja awe mfanyabiashara, tunaharibu taifa kwa kuongeza utawanyo bidhaa na sio uzalishaji. (Machinga economy) Serikali iwezeshe vikundi na wachache miradi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Computer Systems Designing -Uundaji wa mifumo ya computer mbalimbali

    Habari wakuu, kama kichwa kinavyojitangaza, mimi kama mtaalamu wa mambo ya kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer, nawakaribisha kwa mwenye uhitaji wa mfumo wa aina yoyote, niko hapa kukusikiliza na kukuhudumia. Mfano wa systems ambazo unaweza kuhitaji ni kama ifuatavyo ( Naomba udhuru kwa...
  6. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa Mifumo ya Uzalishaji/Utawala na Jamii Zetu kwa Mfano wa Ng'ombe

    Ujamaa (socialism): Una ng'ombe wawili, na unampa jirani yako mmoja. Ukomunisti (communism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na inakupa maziwa. Ufashisti (facism): Una ng'ombe wawili, serikali inachukua wote wawili na kukuuzia maziwa. Unazi (nazism): Una ng'ombe wawili...
  7. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wadukuzi waonesha ubovu wa mifumo ya Cryptocurrency

    Wadukuzi wenye maadili 'white hat hackers' waliingia kwenye mifumo ya fedha za mtandao, 'CryptoCurrency' na kuchukua kiasi cha dola milioni 610. Wadukuzi wamerudisha kiasi hiko cha fedha kwa wahusika kwa kuwa lengo lao halikuwa kuiba. Walichukua hela hizo kutoka Polygon, BSC na Ethereum...
Back
Top Bottom