Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili.
Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier.
Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
Kuna mambo mengi yamefichika nyuma ya pazia kuhusiana na michakato, takwimu na mwenendo wa uchumi hususani usimamizi wa fedha.
Wataalam wa uchumi mnaoiangalia hii clip hapo juu, je kuna usahihi kwa anachozungumza huyo mzee au ni poligical milleage?
je tuna la kujifunza?
Mshana Jr raraa...
“Viongozi wa juu Simba wanashughilikia mchakato wa kupata Mkurugenzi wa Michezo klabuni kwetu, itasaidia kupunguza Majuku kwa CEO na kwa vile tunataka kuchua Kimataifa lazima tuishi Levo za Kimataifa”
AHMED ALLY, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC 🇹🇿.
Hii ni taarifa aliyoitoa yeye mwenyewe kwa Waandishi wa Habari, kwamba anatishiwa kuondolewa uhai wake kwa kuomba Uongozi wa Simba.
Sasa tunajiuliza hapa Simba pana nini hadi watu waanze kutaka kuwaua wenzao?
Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
Marcus Rashford amefunga mabao 9 katika mashindano yote tangu ilipomalizika michuano ya kombe la dunia, ambayo ni mengi zaiidi ya mchezaji mwengine yoyote kwenye zile ligi tano bora barani ulaya.
✍️Marcus Rashford pia sasa amehusika katika mabao 9 dhidi ya Arsenal, mengi kuliko kuliko...
Pichani ni Manchester Derby iliyopigwa mwaka 1947. 🤝
Siku zote mechi hii ya mahasimu wa Jiji la Manchester haijawahi kuwa ya kitoto kabisa. Mechi iliyopita iliisha kwa Manchester City kupata ushindi mnene wa mabao 6 - 3 pale Etihad.
Leo wanakutana tena Pale Old Trafford "Ngome Kongwe" huku...
Leo nimesikiliza EFM, Wasafi na Clouds, hakuna cha maana nimesikiliza na kukielewa na kutosheka zaidi ya KAMARI ZAO TU na zile tutarejea tutarejea zao.
Hivi vipindi vya hizo redio vimefika mwisho.
Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako.
Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna Maendeleo yoyote yale labda umeyapata / yamepatikana?
Hufai kuwa Waziri Wetu wa Michezo.
Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka.
Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup.
Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTENGENEZA DOCUMENTARY YA BI. TITI MOHAMED
Leo nilitembelewa na wataalamu kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo.
Tuliweka barza tukamzungumza Bi. Titi lakini mimi nilizungumza kwa majonzi nikawaambia mtu aliyekaa kwa muda mrefu na Bi. Titi hadi...
Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k.
Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi zimefanya watu wajiajiri rasmi mitandaoni, Kwenye majiji kama Arusha kuna watu wa nje ya nchi wanaishi...
Heka heka za kombe la dunia zikiwa zina endelea na nyuso za watu zikiwa zimejawa na furaha wakati huu wakiangalia timu zao pendwa zikiwa zinacheza soka safi. Kampuni yenu pendwa ya TECNO ambayo tunamiliki simu janja zinazo uzika sana mtaani tume amua kuendeleza furaha za wateja wetu kwa kuja na...
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.