michezo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Michezo

    Katika mashindano ya mbio za Marathon ya Berlin 2022, bingwa wa dunia wa mbio za marathon, Eliud Kipchoge amevunja rekodi yake ya dunia aliyokuwa akiishikilia mwenyewe na kutwaa ubingwa huo kwa muda wa saa 2, dakika 1 na sekunde 9. Kikomo cha uwezo wa binadamu kimevukwa tena. Kwa Wachina wengi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Michezo mashuleni ina nafasi kubwa ya kudumisha Jumuiya ya Afrika Mashariki

    MICHEZO MASHULENI INA NAFASI KUBWA YA KUDUMISHA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - BASHUNGWA Na OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwekeza kwa wanafunzi wa Shule za Msingi na...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo

    Ikukupendeza uwe Azam kuichambua Yanga ikipokea kipigo cha Al Hilal,kama sehemu ya kutuaga fans wako. Namaanisha tushiriki wote kuusindikiza mwili wa marehemu mtarajiwa toka Sudan
  4. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  5. mpasta

    JamiiForums Tanzania Mbona sasa hivi matangazo ya kampuni za BETTING yameshamiri sana?

    Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri... Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbasi awataka Idara ya Michezo Kukamilisha Nyaraka za Miradi haraka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, ametoa siku 7 kwa watendaji wa Idara ya Michezo kukamilisha nyaraka za miradi yote iliyoko chini ya Idara hiyo la sivyo kila mhusika atabeba mzigo wake. Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo leo hii alipokutana na watendaji wote...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  9. Moselyn11

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtandao

    Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu. Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam. Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi wako wanaokushauri kila siku, umesahau juzi ulikuwa una-gugo sifa za mpenzi bora? Ni mimi huyuhuyu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Simba, wekezeni kisoka michezo ya CAF. Huku NBC tuhonge pesa tu kama wengine

    Hili suala lichukuliwe serious nawaomba jamani, kina try again fanyieni kazi, leo mmeona wazi ndugu Aragija alivyojizima data akajifanya mwendawazimu hata kale ka nyumba chake huko manyara atakamalizia sasa. Suala la technics, sijui tactics wekezeni kwa ajili ya michezo ya CAF kwa huku NBC...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mtazamo Wangu Juu ya Kuinua na Kupika Vipaji vya Michezo Tanzania

    Habari za leo. Baada ya Tanzania kufungwa na Uganda 1 - 0 katika kuwania tiketi ya kufuzu mashindano ya CHAN, kumeibuka mijadala mingi sana kuhusu kiwango cha timu yetu. Malalamiko mengi yameangukia kwa wachezaji, walimu, TFF, serikali, etc. Naomba niwasilishe maoni yangu kutokana na mimi...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, sanaa, michezo na ukombozi wa ajira

    Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia. Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana wamepokeaje michezo ya kubahatisha (betting) ?

    Mkeka au Mikeka "ni kauli zinazotamkwa kutoka kwa vijana wengi kwenye kila kona ya nchi yetu haswa vijana wa kiume ukilinganisha na wale vijana wa kike ,kwa hakika vijana ni miongoni mwa nyenzo muhimu inayotegemewa na kila taifa kwa ajili kusukuma maendeleo ya taifa husika , kwa hiyo basi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya Watu wa Makabila Madogo yafanyika wilayani Rongjiang mkoani Guizhou China

    Agosti 25, wanariadha wanafanya maonesho ya kusafiri mtoni kwa mashua ya mwanzi mmoja kwenye Michezo ya 10 ya Watu wa Makabila Madogo ya Mkoa wa Guizhou, iliyofanyika katika wilaya ya Rongjiang.
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tujenge shule za michezo kila mkoa tuachane na kuandaa AFCON

    Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa. Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia katika shule hizi za mikoa za michezo. Hapo wawekewe facilities zote, na walimu. Kila mwaka shule...
  17. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo haya yanaweza kuboresha Sekta ya Michezo nchini Tanzania

    Kwa muda mrefu sana nchi yetu imekuwa ikipambana kwa kila hali ili kuhakikisha inajiweka kwenye nafasi nzuri katika sekta ya michezo hususani kwenye mashindano ya kikanda, bara na yale ya kimataifa. Jitihada hizi zimekuwa zikifanyika mara kwa mara lakini bado mafanikio yake hayaendani na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

    Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili. Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Yanga wakome kuwaalika CCM kwenye michezo

    Hakukua na umuhimu wowote ule kumfanya Mzee Kina ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kuwa Mgeni rasmi kwenye kusanyiko lenye Watu wenye itikadi tofauti za Vyama. Wamevuna walichostahili. Saafi kabisa Yanga kama Mandonga tu
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
Back
Top Bottom