asha baraka pekee ndo anatakiwa kubaki ktk uongozi, mangungu na wenzake watoke

asha baraka ndio kiungo muhimu kwa sasa simba nje ya bodi ya wakurugenzi

nafasi yake anagombea yeye na mdada mwingine.(huyu pandikizi) anatakiwa asha baraka

kambi zote mbili ile ya mangungu na ile ya kaluwa wanamtaka asha baraka

nb: tajiri,magori,mulamu,try again, hawa wote wanamtaka mangungu
 
Auliwe? Ameripoti polisi?

Nafasi ya mwanamke ipo labda anayetaka muondoa ni mwanamke mwenzake ambaye ametishia uhai wake?

Au ana onekana ni kikwazo ktk shughuli za simba?

Aseme vizuri...
Police....akatoe taarifa Police!..Hawa hawa Police wa Tanzania.....kuandika humu ni rahisi sana...,binafsi Police hawa its a NO, bora nifanye push back mwenyewe
 
hahahaha

huu uchaguzi kama itakua vile navyoona ,unaenda kuleta mgogoro wa kikatiba kati ya mwekezaji na wanachama

timu kaluwa ,ambao km wakishinda tegemea mabadiliko ya katiba na vipengele baadhi,ili mwenyekiti wa wanachama awe na nguv ile ya 51 asilimia.

akina kajuna,kaburu ,kaluwa, wana agenda zao
Sio rahisi sana! Hao wote timu Kaluwa ni malofa! kwa uzoefu wangu mdogo kwenye siasa za Simba na yanga, Kambi yenye "mzigo" ndio uwa inasikilizwa.
 
Sio rahisi sana! Hao wote timu Kaluwa ni malofa! kwa uzoefu wangu mdogo kwenye siasa za Simba na yanga, Kambi yenye "mzigo" ndio uwa inasikilizwa.
Sasa timu Kaluwa si ndio wenye hela? Na Kanjibai si ndio anawataka, na si ndio hao vilaza uongozi hawawezi sasa unategemea wanatarajia kushindana kwa kutumia nini
 
Back
Top Bottom