michezo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awakaribisha nchini Mawaziri wa michezo wa nchi 14

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
  2. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

    Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  5. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
  6. Maguguma

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Aprili 6: Siku ya Kimataifa ya Michezo

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Michezo kwa Maendeleo na Amani ni fursa ya kutambua mchango chanya wa Michezo katika Jamii na Maisha yetu Michezo ina nguvu ya kuimarisha uhusiano katika Jamii, na kukuza Maendeleo endelevu, Amani pamoja na mshikamano wa watu wote Mbali na Michezo kuwa na...
  8. Zee la Kazi

    JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaidhinisha Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    KAMATI YA BUNGE YAIDHINISHA BAJETI WIZARA YA UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeridhia na kuidhinisha matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya takribani Bilioni 35.4 kwa mwaka wa Fedha 2023/24. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
  14. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimewatengenezea SOLDRAX: App ya kucheza na marafiki michezo ya Karata (Arubastini & LastCard) pamoja na Draft style zilizo maarufu Tanzania

    Hello bosses and roses, Kwa muda mrefu nmekua nafikiria namna ya kutumia tech kukuza na kuendeleza mwenendo wa maisha uliozoeleka hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla sababu Systems na Apps nyingi tunazotumia zimetengenezwa kufuata mazingira na utamaduni wa nchi za Ulaya, Amerika na Asia. Mfano...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  18. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Pindi Chana atoa rai kwa wawekezaji kuwekeza katika michezo

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ametoa rai kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika michezo ikiwemo ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya viwanja vya michezo. Mhe. Dkt. Pindi Chana ametoa rai hiyo Machi 5, 2023 jijini Arusha wakati wa mbio za...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante kwa 'Kubalansi' Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Chana ni mwana Yanga SC lia lia na Mwinjuma ni mwana Simba SC Kindakindaki. Kazi ipo.......
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Dunia la Maadili katika michezo

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Vijana na Michezo wa nchini Seychelles, Ralph Kelvin Jean-Louis (wa pili kulia) tarehe 21 Februari, 2023 jijini Riyadh, Saud Arabia katika Kongamano la Dunia la Maadili katika...
Back
Top Bottom