michezo

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kamari: Mbadala wa Dawa za Kulevya?

    Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni ukweli unaosikitisha kwamba 'pipi' za 'sembe' hushindiliwa kupitia njia ya nyuma mpaka tumbo lijae...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha miundombinu ya michezo nchini

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya kikao cha pamoja na ujumbe kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambapo wamejadili namna bora ya kuboresha miundombinu ya michezo nchini. Kikao hicho kimefanyika Juni 16, 2023 jijini Dodoma ambapo timu ya...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hivi Bajeti ya kukarabati viwanja vitano vya michezo tuliyopewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 22/23 iliishia wapi?

    Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya...
  4. Victoire

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi nani katuroga? Waziri wa michezo kutumia rasilimali za Serikali kukabidhi kombe garasa kwa mashabiki wa Man City Tanzania

    Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe. Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
  5. kwisha

    JamiiForums Tanzania Yanga wakipata Philip Kizumbi na Kipre Junior watakuwa wamefaidika sana

    Ningepata nafasi ya kuwashauri Yanga kuhusu usajili ningewambia watafute mawinga wazuri zaidi ambao wanajua ku dribble, wana speed na pia ni wazuri kwa kutoa pass. Moloko ni mzuri some time kwa kutoa pass na speed lakini hajui ku dribble, na ni lazima winga awe mzuri pia kwa ku dribble kama...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Tutumie Michezo Kutangaza Utalii

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII "Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni na 30% kwa ajili ya wawindaji wa ndani" - Mhe. Cosato Chumi, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania CAF watalifuta goli la ugenini endapo Al Ahly ataonja uchungu kwa kutolewa na Wydad Casablanca kwa goli la ugenini

    Jambo wanamichezo na wadau wa football kwa ujumla, NALIA NGWENA the great thinker, mkombozi wa fikra mpya kama mnavyoniita Wanajamiiforums wenye upendo wa dhati, leo naleta hoja kidogo kuhusu goli la ugenini katika michuano ya CAF. Kwa kweli goli la ugenini linaumiza sana, tena sana, lakini...
  8. Alphonce Njau

    JamiiForums Tanzania SoC03 Michezo nchini Tanzania

    Andiko kwa Wizara ya Michezo: Kuboresha Uwajibikaji na Utawala Bora Natumai andiko hili litaleta chachu katika hali njema na hamasa ya kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo nchini Tanzania. Kwa kuzingatia umuhimu wa uwajibikaji na utawala bora katika kuendeleza sekta hii, napenda...
  9. Nanan

    JamiiForums Tanzania Takwimu za kamari za michezo na jinsi soko la Tanzania linavyokua

    Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
  10. Maleven

    JamiiForums Tanzania Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

    Wakati na request bolt bei ilokuja ni 15, 000 tunafika destination risiti inasoma 21,000 tumebishana sana ila kwakuwa nilikuwa na mgojwa wa nikaitoa hiyo hela, haijawahi kutokea hii mara zote nilizorequest bolt, Je kuna vijana wanafanya uhuni? Naomba shule katika hili
  11. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  13. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna wachambuzi wa michezo ila...

    Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza. Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora kupitia Michezo

    Michezo ina jukumu muhimu katika kuchangia utawala bora kwa njia kadhaa. Hapa chini ni baadhi ya mchango wa michezo katika utawala bora: Kukuza maadili na uwajibikaji: Michezo inajenga maadili kama ushirikiano, haki, nidhamu, uwazi, na uwajibikaji. Kupitia michezo, watu wanajifunza umuhimu wa...
  16. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete kipindi cha EFM michezo

    Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika Swali ni kwamba wataongea nin???? Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na michezo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya michezo katika nchi yoyote ile. Michezo ina jukumu kubwa katika kuunganisha jamii na kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika michezo bado ni...
  18. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

    Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
  19. sIR tEaChER only

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
Back
Top Bottom