michezo

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Katika michezo 4 ijayo ya Ligi, Simba SC itaambulia alama 5 au pungufu kati ya alama 12

    Habari wanajukwaa Nimeangalia michezo ijayo ya Simba katika michezo 4 jayo kwenye ligi. Aiseeee 😁😁 Niseme tu kwa hii Fixture Simba itapata ushindi mmoja na itasare michezo 2 na itapoteza mchezo moja. Sitaki kuwambia kwanini nimetabiri hivyo ila subirini. Na ikifanya mzaha huenda ikapata...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo unatuangusha wanasoka, kuwa mjanja

    Hapo vipi! Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga. Tukumbuke michezo hususani mpira wa miguu inauwezo wa kuitangaza nchi huko Duniani na watu wengi ulimwenguni...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Michezo ya kubatisha: Ni kweli wanaocheza kamali ya MchongoPesa wanapata pesa?

    Saa nyingine utawasikia wakisema kwenye kipindi chao cha usiku wa manane "leo washindi 30 usiku huu watajishindia kila mmoja sh. milioni 5, bodaboda 1, TV screen ya nchi 40 na jezi pair 2 kwa kila mmoja". Hii ni baada ya kutoa ahadi kama hiihii kwenye vipindi vyao vingine kama vile vya sports...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

    Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini? Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Na Mimi nataka kuwa Mfalme wa hili Jukwaa la Michezo hapa kama GENTAMYCINE sijui nitaweza? Mniombee....

    Najua GENTAMYCINE ni Mwamba ila popote alipo ajue kuwa nami MINOCYCLINE sasa nimekuja rasmi Kuupindua Ufalme wake hapa Jamiiforums kwa kuja na Taarifa za Ndani, Uchambuzi na Kulichangamsha Jukwaa na naamini mpaka atoke BAN yake atakuta Mimi sasa ndiyo Natamba hapa na hata Tuzo ya mwaka huu...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hawapendi kucheza na kuwajali wanyama wanaowafuga?

    Tanzania wanyama tunaoishi nao wanateseka sana kwakweli, ni kama vile waliumbwa na shetani wakati tumeumbwa nao na Muumba wetu alietupa mamlaka tumsaidie kuwatunza, Watanzania tunasali sana na kuomba dua ila ya nini hivi vyote kama hatupo tayari kuukubali uumbaji wa viumbe vingine vilivyoumbwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro: Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo wa Malya Uko Pale Pale

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara anayoiongoza itaendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa Kituo Cha Michezo katika Chuo Cha Maendeleo ya Michezo Malya mkoani Mwanza kama ilivyopanga. Dkt. Ndumbaro amesema hayo Novemba 6, 2023 Bungeni Jijini Dodoma...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wizara ya utamaduni ,Sanaa na michezo Kwa yafuatayo.. Waziri Ndumbaro Naibu Waziri Mwinjuma Katibu Gmsigwa Niko mbali Sana vijijini Ila nimejionea mechi ya Jana,set-up, arrangement. Pre -match performance, imekuwa amazing sana 🙏. Uteuzi wenu kwenye hii wizara...
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Serikali: Michezo ya kubahatisha imezalisha Ajira 25,000/=

    Nimeinukuu toka kwa Millard Ayo. Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema licha kufanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, ndani ya miaka hiyo pia imefanikiwa kuzalisha ajira 25,000...
  14. xxtycoon

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa michezo ya vikaragosi (virtual games)

    1. Kuongeza Ujuzi wa Kisaikolojia: Michezo vya kielektroniki, mfano Spin&Win huchangia kuimarisha ujuzi wa kisaikolojia kama vile kutatua matatizo, kufikiri kwa uangalifu, na kufanya maamuzi. Wachezaji mara nyingi wanakutana na hali ngumu ambazo zinahitaji mpangilio wa kimkakati, hivyo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Japan: Watanzania 6 kuchuana katika Riadha leo ili kuwania nafasi ya Kushiriki Michezo ya Olimpiki 2023

    Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023. Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba upesi nijibiwe haya Maswali yangu na Watangazaji pamoja na Wachambuzi wa Michezo wa Redio nchini

    Swali # 1. Je, Yanga SC ingekuwa inaongoza Ligi Kuu ya NBC mpaka sasa ( yaani leo ) mngekuwa Wanafiki hivi na Kutumia muda mrefu Kumjadili Mwamuzi wa leo kuwa Kaipendelea Simba SC dhidi ya Singida Fountain Gate FC huku mkijisahaulisha ( mkijizima data ) kuwa hata hiyo Klabu mnayoitetea kwa...
  17. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

    Mwenye ratiba ya mechi zote naomba aitupie hapa.
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Head to Head: Yanga kashinda mechi moja tu katika michezo sita iliyopita dhidi ya Al Ahly

    Yanga wapo kundi D katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Wamepangwa kundi moja na kigogo Al Ahly. Head to head wamekutana mara 6. Yanga akifanikiwa kuibuka mara moja tu na ushindi dhidi ya Al Ahly. Ikumbukwe kundi la Yanga lina timu zilizoshiba ambazo ni Al Ahly, CR Belouzdad na Madeama ambao ni...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Magari ya michezo ni bei sana, serikali na Baraza la Michezo mtusaidie wapenzi wa michezo ya magari

    Silii kwa ajili yangu, nalia kwa ajili ya the coming young stars , and the coming generation. Magari ya michezo ni bei kubwa sana na ushuru wake ni mkubwa, hawa chipukizi watawezaje? Sera za kikodi ziangaliwe upya, vipaji sio Football ⚽ na riadha na ngumi peke yake, vipaji ni uwanda mpana...
Back
Top Bottom