DODOMA Jumatatu Machi 25 2024:
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na kampuni ya Drum Beats Carnival (T) Limited, ya Jijini Dar es Salaam zimesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo kampuni hiyo itaratibu Tamasha la Kitaifa la Utamaduni kwa niaba ya wizara.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya...
Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni.
Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni.
Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
Anonymous
Thread
hii
michezo
pangani
serikali
taka
tanga
wanaofanya
https://www.youtube.com/watch?v=xyOZfGov2YA
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi...
Naibu Waziri wa Saana, Utamaduni na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amedai sababu moja wapo ya kujenga Uwanja wa Michezo unaochukua watu 30,000 mkoani Arusha ni kuwa kwa wastani katika mechi watu hawataujaza uwanja huo ukizingatia kuwa Uwanja wa ‘Kwa Mkapa’ unaochukua watu 60,000 ukiwa katika...
Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu.
Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
Waziri mwenye dhamana ya michezo wa Tanzania, Ndumbaru, siku ya leo amesikika akipiga marufuku watanzania wenye ushabiki (watakao vaa jezi) wa vilabu vya nje vinavyokuja kushindana na timu za Tanzania (Simba na Yanga) kuonekana uwanjani.
Kwa hakika hii sio kauli ya kiungwana kwenye soka, na...
Wanaspoti wenzangu kutokana na kilichototokea leo naombeni nipewe ratiba ya Vipindi vya michezo kwa Siku ya kesho kwa redio zote.
Lakini ningependa kushauri wanaspoti wenzangu hasa wale wayanga, tusikose kipindi cha hawa Manguli wa michezo hapo kesho.
Natanguliza shukrani.
Nimekumbuka hapo katikati hasa kipindi "African Football League" inakaribia kuzinduliwa, Serikali ilikuwa inaongelea umuhimu wa kuwekeza kwenye "Sports Tourism" au "Utalii wa Michezo". Tafsiri ya haraka ya "Utalii wa Michezo" maana yake ni "kuandaa matukio ya kimichezo ambayo yatavutia watu...
My Take
Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi.
Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk.
Kazi iendelee 👇👇
---
Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa...
Salaam waungwana,
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya wenye mamlaka kuingilia michezo mbalimbali.
Sote tutakubaliana tangu 2015 tunayo aina ya viongozi ambao katika kila jambo wanaelekeza sifa na shukrani kwa raiya namba moja.
Juzi wakati nasikiliza michezo waziri aliyepo kwenye hii wizara...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs simba 0 - 0ft
Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Nataka nikuhakikishie Mrisho Ngassa, mchezaji mwenye kipaji aliyeishia kuwa lofa kuwa Feitoto hakuna wa kumrushia majini.
Feitoto kule kwao ndiko waliko hao majini, ushindi wa timu zetu unategemea sana wataalamu kutoka hukoooooo.
Mayele ni mgeni wa mambo hayo lakini sio feitoto, kama...
Hello heshima kwenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mtanzania mpenda michezo, na katika kujihusisha sana na michezo, Mungu amenijalia kujipata kwa kuja na aina mbili za michezo.
Mchezo wa kwanza utakuwa ukijulikana kama FENCEBALL au Mpira wa uzio. Na mchezo wa pili utajulikana kama REMAVOLLY...
Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.
Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi.
Iran successfully launches 3...
“Wakati tunaendelea na mazungumzo na Waziri wa Michezo wa Ivory Coast nikamuuliza kwanini mmemuacha Pacome akaniuliza Pacome ndiyo nani? Nikamjibu ni Mchezaji wa Yanga na ni nyota wa Ligi Kuu”
Mheshimiwa Damas Ndumbaro, Waziri wa Michezo akieleza moja ya mahojiano yake aliyoyafanya na Waziri...
Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno.
Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa.
Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu.
Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.