Bodi ya Michezo ya kubatisha: Ni kweli wanaocheza kamali ya MchongoPesa wanapata pesa?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Saa nyingine utawasikia wakisema kwenye kipindi chao cha usiku wa manane "leo washindi 30 usiku huu watajishindia kila mmoja sh. milioni 5, bodaboda 1, TV screen ya nchi 40 na jezi pair 2 kwa kila mmoja". Hii ni baada ya kutoa ahadi kama hiihii kwenye vipindi vyao vingine kama vile vya sports saa 3 usiku, Countdown, nk.

Najiuliza maswali mwenyewe kuwa ni kweli wako wanaozipata hizo hela na badaboda, au ni mchongo unachezwa kati ya Redio na watu wanaojifanya wameshinda na kupewa zawadi hizo? Je, Bodi ya michezo ya kubahatisha inawalinda wacheza kamali hizi na kuona kweli haki inatendeka?

Hivi kweli ni kweli usiku wa manane kwenye kipindi kimoja mchongopesa inaweza kutoa 5,000,000 x 30, bodaboda 30, TV 30 na jezi 60? Je, kwa siku moja Redio ina vipindi vingapi na kila kipindi kuna washindi wangapi na kwasiku nzima Redio inatoa kiasi gani cha pesa, bodaboda, TV na Jezz?

Hakuna wizi kwa wananchi hapo kwa njia ya ulaghai?
 
Wanachosema cha kweli ni kile tu kwamba ni bahati nasibu mbali na hapo ni ujanja ujanja
 
ukiona umeitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa.
 
Watu wanaangalia kodi tu basi yaani hata siku aki
 
Sehemu yeyote ukiambiwa kuna fursa ya kupata manufaa kirahisi basi elewa wewe ndie fursa yenyewe.
 
Wanao cheza ni wengi unakuta mtu kacheza elfu kumi nzima
Sio kweli, kipindi Cha power breakfast washindi 10, sports round washindi 5, mashamsham 10, countdwn 5 jahazi 10, sports 20, diva 10. yaani washindi 70 x 5,000,000, bodaboda 70, tv 70, jezz 140 kila siku ya Mungu. Na Kuna siku day ni 30,000,000 kwa washindi. Kuchangiana huko kwiyo!!!
 
Kamari ya ukweli ni kubeti tu ukiliwa unajua kweli umeliwa matokeo siyapo adharani ?
wananchi waachane na hii michongo ya mtu anatoa yeye dau na yeye ndio anakwambia umeshinda, dau nono ni la kukutamanisha tu, hakuna uwazi. Ni heri hata bets njingine kama slots na dubwi ambalo ukiliwa unaona mwenyewe kuwa umeliwa.
 
hapa mjini usipokuwa na akili utatumia tu kutajirisha wengine

mimi nakaa moja ya kata yenye waty wengi dsm,sijawahi kusikia mtu kaamka na hilo gawio.
 
Back
Top Bottom