michango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili. Karatasi zilizo zidi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Michango ya Rambirambi za Misiba kwenye makundi ya Whassap imegeuka mzigo kwa wachangiaji

    Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi unakuta lina wastani wa watu 20 mpaka 50 na mengine yanafika watu 100. Katika makundi haya, ndani ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wasanii hujifanya wana pesa, wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango

    Hii mitindo ya wasanii kujifanya wana pesa sana, halafu wakiugua wanapitisha mabakuli ya michango, inakera sana.
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KKKT punguzeni ada za shule zenu ni michango ya waumini

    Ushainaa unatoa sadaka na michango kwa ajili ya ujensi wa shule lakini unashindwa kusomesha mwanao, Hii ndioo kichekeshoo kinachoendeleea yaan ada zao kama awataki mtu kusoma hapo. Ushauri tu kwa KKKT mkumbuke n michango ya waumini kuwafikisha hapo mlipo na aim ni kusaidia waumini wenu kama...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

    Salaam,Shalom!! Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau. Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
  6. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natakiwa kufanya nini kama mwajiriwa wangu hakuwa akipeleka michango yangu ya NSSF

    Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo. Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa. Naombeni msaada wa kisheria.
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 A-Z ya kinachoitwa michango ya kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukua fomu ya kugombea Urais 2025

    Wana bodi, ni tumaini langu unaendelea vizuri na sherehe za pasàka pili. Baada ya kusikia Kwa muda mrefu suala la watu tofauti tofauti kujitokeza na kudai watamchangia Mama pesa za kugombea Urais mwakani, binafsi nilianza kufanya uchunguzi. Leo asubuhi nimesikia redioni katika Moja ya vipindi...
  10. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  11. Rare123

    JamiiForums Tanzania Michango ya Harusi na SendOff

    Habari wanajamii, Mimi ni software developer, nilikuwa nina idea ya kutengeneza app/tool ya kusaidia kufuatilia na kukumbusha watu ahadi za michango kwa ajili ya harusi na sendoff. App ina lengo la kutatua kero zifuatazo kwa mtu anayefuatilia, kukusanya na kutoa taarifa za makusanyo ya...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amepiga marufuku shule kuweka michango ya lazima ambayo inawanyima Watoto kwenda shule. Pia Soma: - Shule ya Msingi Tumaini ya Tabata Kimanga Wanafunzi wasiochangia Tsh. 800 wanatolewa Darasani - Malalamiko yaendelea kuhusu malipo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wafanyakazi mgodi wa CATA Mining Mara, waanza mgomo kushinikiza kulipwa mishahara, michango NSSF

    Wafanyakazi wa mgodi wa Dhahabu CATA MINING uilioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara, wameanza mgomo wa kutofanya kazi na kuamua kulala katika ofisi za mgodi huo, wakishinikiza uongozi wa Mgodi kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHAKUHAWATA wajibu tuhuma za viongozi wao kugawana Tsh. Milioni 400 za michango ya Wanachama

    Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) kimejibu tuhuma kuwa kuna baadhi ya viongozi wa juu wa chama hicho wanafuja fedha za michango ya Wanachama kwa kugawana zaidi ya Tsh. Milioni 400. Kufahamu zaidi kilichosemwa kuhusu tuhuma hizo, soma hapa - CHAKUHAWATA wawageuza...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya kuomba michango ya mafuriko ya Hanang, Serikali isaidie wananchi kwa pesa zake

    Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake. Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
  17. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Wazazi wa wanafunzi Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA, tumechoka na Michango, Rushwa, Utumikishwaji wa watoto wetu shuleni

    Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera. Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Michango kwenye misiba ya wasanii inatoa somo zito kwa serikali na wasanii

    Wakuu tangu jana baada ya kusoma taarifa za kuugua kwa msanii Haitham Kim (R.I.P) na bahati mbaya leo kufariki nimejikuta nikitafakari sana mambo mengi. Nimejitafakari mimi binafsi, familia yangu, wasanii na watanzania wote kwa ujumla kuhusu ishu za afya na kujikuta nikisononeka. Ila wakati...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kanye West akosa michango ya Kampeni za Urais, huenda akajiondoa kabisa

    Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu. Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali...
Back
Top Bottom