Habari za kuchakarika wakuu,
Aisee hapa navyoandika nimeungwa kwenye magroup matatu ya harusi zinazokuja mwisho wa mwaka huu, 1 ni binti ndugu wa ukoo sio immediate family link kwa mababu huko, mmoja ni jamaa nilitinga nae job kabla sijahamia nilipo, mwingine jamaa tumesoma wote high school...
Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi.
Nay
Naona maoicha picha yanaendelea
Wale.waliokuwa wanangalia star TV juzi walimhoji Tondu Lissu
Moja ya maswali alibanwa michango ya join the chain iko sh ngapi
Akaruka akasema hii anawezajibu katibu na mweka hazina hawa ndio wahusika wakuu
Leo naona anajiuzulu
Asemeeee wazi michango I.efika...
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango
1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/=
2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka
3. Hela ya jiko Tsh...
Anonymous
Thread
michangomichango shuleni
misingi
mitihani
shule
shuleni
wimbi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa.
Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji.
Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
Embu tujadili na kuangalia umuhimu/ulazima wa hii michango ya harusi .Tunaishi kijamaa ndani ya mifumo ya kipepari,tuna vipato vya kawaida sana hasa kwa ndugu zangu wafanyakazi.
Wafanyakazi wanakipato kidogo mno hakiendani na uhalisia wa maisha,na pale anapoishi kijamaa kwa kushiriki hizi...
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.
NB: Hawana utambulisho wowote
Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa sio bahati mbaya ni maandalizi ya muda mrefu, unakuta mtu huna mazoea naye ya karibu sana kwa...
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024.
MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini
Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa.
Ni...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4.
Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa.
Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba...
Ndugu zangu Watanzania,
Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini hao ambao wanamtegemea yeye kuja kuwatoa katika wimbi la umasikini hii imekaaje kaaje?
Lissu acha...
Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.