Kanye West akosa michango ya Kampeni za Urais, huenda akajiondoa kabisa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1689666707133.png

Kwa mujibu wa taarifa za Tume ya Uchaguzi ya Marekani (FEC), Rapa huyo aliyetangaza nia ya kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2024, hadi sasa akaunti yake ya Kampeni ina salio Tsh. 55,985,680 tu.

Pia, imeelezwa kuwa Kanye ametumia zaidi ya Tsh. 4,868,320,000 katika shughuli mbalimbali za Maandalizi ya Kampeni lakini kiasi alichokusanya hadi sasa hakizidi Tsh. 1,107,542,800.

Hata hivyo, Aprili 2023, Kanye West aliripotiwa kutaka kujiondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha Urais huku akidaiwa kutaka aachwe afanye maisha yake ikiwemo kujenga Ndoa yake mpya.
1689666684973.png


=============

Kanye West may have accepted the fact that he’ll never be President of the United States, as his presidential campaign seems to be grinding to a halt.

Radar Online received copies of Federal Election Commission (FEC) filings from West’s campaign on Monday (July 17), wherein they revealed that the “Stronger” rapper hadn’t received a single donation in weeks. On April 1, 2023, the campaign had $124,873 in its coffers — however, by the time June 30, 2023 rolled around, more than $101,000 was paid out to consultants and other employees.

And while the campaign doesn’t have any outstanding debts, there’s only about $23,000 in cash left for the “Kanye 2020” campaign.

What’s more, Kanye West claimed that he spent over $2 million in bills, but only pulled in about $455,000 in donations, since the campaign begin.


Part of those expenses include a $31,000 check to Milo Yiannopoulos, an alt-right provocateur who was billed as West’s “Director of Political Operations.” The legality of that payment, however, is currently the subject of much controversy.

Yiannopoulos — best known for his criticisms of everything from the Muslim religion to feminism — was hired as the campaign manager by the embattled Yeezy CEO after having a fallout with fellow alt-right extremist Nick Fuentes, according to Forbes. The outlet also reports that West’s hiring of the British provocateur came after he “fell out” with Donald Trump.

Kanye West’s quest for the presidency has been nothing if not beleaguered.

Back in April, it was reported that Kanye West pulled out of the presidential race altogether once he realized that political shenanigans were afoot in his quest for the White House.

HIP HOP DX
 
Yumo kwenye siasa kwa mda gani na ana wadhifa gani serikalini?
Ila USA inataka labda
 
I wish Ye angekuwa rais wa Marekani japo kwa muongo mmoja tu. Tungeona vituko, maana ingekuwa burudani ya kutosha.
 
Back
Top Bottom