Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,528
27,053
Ndugu zangu!

Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.

Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.

Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.

Ncha Kali.
 
Hivi mifumo haisomani, yaani integrated? ambapo kitu kikikatwa kinaingia mahala pake?

Hata hawa waliokopa bank ambapo salary slip itaonesha wamekatwa na bank hizo hela hadi mwajiri azipeleke Bank?

Sijui kuhusu hili naomba kuelimishwa
 
Ndugu zangu!

Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.

Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.

Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.

Ncha Kali.
Wana HATI SAFI zote kasoro moja tu....

Tutaona mengi yasiyotarajiwa
 
Back
Top Bottom