Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo;
Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu.
Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge.
Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao.
Kila Mwaka...
Habari,
Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi Mkuza iliyopo kata ya Picha ya Ndege kituo cha daladala maarufu kwa Mbonde
Wamekuwa na utaratibu wa...
Anonymous
Thread
chakula
kero
kibaha
michango
mkuza
msingi
shule
shule ya msingi
Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam.
Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi.
Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
Anonymous
Thread
chanika
mchango
michango
mtaa
ofisi
sahihi
serikali
serikali ya mtaa
utaratibu
viongozi
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
Walimu wa sekondari wailes wanaongoza kwa kubuni michango shule ni tatizo ni nini? Mtoto asipoenda kusoma jumamosi anadaiwa tofali 5 mpaka 10 za sementi na hela aliyotakiwa kulipa jumamosi anailipa pia ingawa hakusoma, walimu wakujitolea wazazi ndio wanakiwa kuwalipa kwa mwezi 2000,
Kuna kusoma...
Mimi ni mkazi wa Mabibo Sahara, kero yangu/yetu wakazi wa huku tunachangishwa pesa za ulinzi shirikishi kwa maelekezo ya mwenyekiti, shida siyo kuchangishwa fedha kwa ajili ya ulinzi shirikishi kama mtaa, je ni sawa kuchangishwa kila chumba kwa nyumba moja yaani sio nyumba ila kila chumba...
Anonymous
Thread
mabibo
michango
mtaa
mwenyekiti
mwenyekiti wa mtaa
ulinzi
ulinzi shirikishi
“Baada ya Kifo cha Nilsa: Wazazi Watofautiana Kwa Pesa za Michango!” 🤔💔
Inadaiwa kuwa kwa sasa kuna sintofahamu kubwa kati ya Baba na Mama wa marehemu Nilsa, kufuatia tuhuma nzito za matumizi mabaya ya fedha za michango ya matibabu ya mtoto wao.
Mtoto Nilsa, ambaye alizaliwa na kuishi na...
Womenomics Tanzania 2025.
~Utafiti kuhusu Wanawake katika Nguvu Kazi, Biashara, na Uongozi.
Takwimu Muhimu (2025)
80%: Kiwango cha ushiriki wa wanawake katika nguvu kazi.
54%: Idadi ya biashara ndogo na za kati (MSMEs) zinazomilikiwa na wanawake.
Dola bilioni 1.7Nakisi ya mtaji kwa...
Sera ya "Elimu Bure" ilikuja kama mkombozi kwa wazazi wengi wa Kitanzania wenye kipato cha chini. Lengo lilikuwa wazi: kuhakikisha kila mtoto anapata haki ya msingi ya elimu bila kikwazo cha kifedha. Hata hivyo, uhalisia mtaani na mashuleni kila uchwao unazidi kuthibitisha kuwa, huenda elimu hii...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
My people,
Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake
Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi.
Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi.
Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98.
Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
Hivi karibuni kwenye mijadala ya harusi, gumzo limekuwa kadi za mchango. Ukitazama kadi, single unachangia elfu 50, double elfu 90. Hapo mtu anajisikia kama amenunua Tiketi ya Mechi fulani, kumbe unakwenda kuwapiga tafu watu katika harusi yao. Lakini ukifika, unakutana na ujumbe kuwa: “Chakula...
Siku zote nasema.
Bila kuwaondoa CCM madarakani, Tanzania tutakuwa tunacheza biashara ya pata potea kila siku.
Nchini Ethiopia, Serikali yao wamekamilisha ujenzi wa Bwawa la Umeme kubwa zaidi Afrika kwa kutumia fedha za ndani na michango ya Wananchi wao hasa Diaspora.
Hayo yakifanyika, hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.