miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Babu wa miaka 60 atupwa jela miaka 30 baada ya kukutwa na bangi

    AFUNGWA JELA MIAKA 30 KWA KOSA LA KUPATIKANA NA MICHE YA BANGI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa ANOSISYE AMOS MWAKITEGA [60] Mkazi wa Kyimo halmashauri ya Rungwe Mkoa wa Mbeya kwa kosa la kupatikana na miche ya bhangi 192 kinyume na kifungu cha sheria namba 11 (1)...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022 Hukumu...
  3. Optimists

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha mwanamke niliyedumu naye kwa Miaka 7

    Wakuu nitakua nakosea? Ni binti niliekutana nae zamani kidogo tokea nasoma form four nilimuacha madarasa mawili nyuma, tulikua marafiki tu ni mtu ambae tumedumu nae kama rafiki na mpenzi kwa miaka mingi sana, katika mihangaiko yote ya maisha ya shule, chuo na kitaa Niko nae mpaka Leo. Kwanini...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha: Josef Stalin alipokutana na Winston Churchill miaka ya 40

    Wakati huo kuvuta cigar ilikua ni kitendo cha kawaida hasa kwa viongozi. Churchill anatoa cigar kwenye kifuko cha ngozi. Lugha ya picha inaonyesha wote ni wenye furaha na hakuna wasiwasi.
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Kama mimi naanza hivi...
  7. luangalila

    JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto 19 wafanyiwa unyanyasaji wa kulawitiwa na mtoto wa miaka 15

    Hii habari niliyo isikia punde toka katika taarifa ya habari ya Ufm Ni huko Iringa mitaa ya Kiesa ambapo mtoto mmoja wa umri wa miaka 15 anaedaiwa kuwalawiti watoto wenzie zaidi ya 10 kwa kuwahadaa kwa vipipi na kuwawashia luninga nyumban kwao kisha kuwafanyia mchezo huo mbaya wa kikatili...
  8. dennoo_appliances

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Surrogacy imeturahishishia maisha

    Nakamaliza taratibu za surrogacy na soon ntapata mtoto, ili niendane na ile kauli mbiu ya kuwatafuna tu wanawake, hakuna mda wa kuoa ni mwendo wa surrogacy na kuwatafuna wanawake
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kim Jon-Un: Ktk miaka 5 North Korea itarusha na kuweka angani setilaiti nyingi za kijeshi ili kuchunguza shughuli za kijeshi za Marekani

    Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan. North Korea imefanya...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Tanzania kuanza kuuza gesi nje "labda" baada ya miaka 6 kuanzia sasa

    Akihojiwa na BBC leo kuhusu uwezekano wa Tanzania kuchukua fursa hii ya vita baina ya Russia na Ukraine kuuza gesi yake nje ya nchi Waziri wa Nishati Mhe. Makamba amesema uwezekano huo haupo labda baada ya miaka 6 kuanzia sasa ndiyo miundombinu wezeshi inaweza kukamilika na kuanza kazi...
  11. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Kocha Pitso Mosimane asaini mkataba mpya wa miaka miwili Al Ahly

    Kocha Mkuu wa Klabu ya Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane (57) raia wa Afrika Kusini ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi msimu wa mwaka 2023/24. Mosimane alitangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Oktoba mwaka 2020 akitokea ya Mamelodi Sundowns ya...
  12. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Safari ya mafanikio ya Mwanamuziki Lauryn Hill: Usipuuze na kudharau watu na Usikate Tamaa

    Lauryn Hill Leo hii ukizungumzia orodha ya wasanii wakubwa wa kike nchini Marekani na duniani kote, basi huwezi kumkosa Lauryn Hill. Huyu ni moja kati ya binadamu wenye vipaji vikubwa sana vya utunzi wa mashairi na sauti ya kipekee kabisa. Anaweza kuimba muziki wa aina mbalimbali, kuanzia...
  13. Alex korosso

    JamiiForums Tanzania Mwenye Kumbukumbu ya miaka 1974 ya ukame na uhaba wa mazao

    Leo katika pita pita zangu nimekutana na mzee wa makamo nikajaribu kumshilikisha mipago yangu ya kilimo pamoja na utunzaji wa mazao pindi yatakapo panda bei niweze kupata faida. Mzee ameanza kunipa historia ya kuanzia miaka ya 1974 na kunieleza ya kuwa na uzoefu wa hio biashara kwa mda mrefu...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndyanao Balisidia aliyeimbiwa mwimbo wa harusi na kaka yake Patrick Balisidia miaka ya 70

    Mwanamuziki wa zamani Patrick Balisidia alizaliwa mwaka 1946, mwaka uliofuata yaani 1947 alizaliwa dada yake aliyepewa jina la Ndyanao. Patrick na Ndyanao walielewana sana na walikua kama mapacha. Siku ya harusi ya Ndyanao, kaka yake Patrick alimuimbia mwimbo wa harusi ambao wengi mnaufahamu...
  15. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utoto wa miaka ya 70-80 ulikua mzuri sana, hakuna wa kumwambia soda inakufanya kuwa hyperactive.

    Kwenye birthday party unapambana na chupa ya Fanta, Sprite au Coke Cola kwa raha zako ukicheza kung fu.
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi laidhinishwa kukaa madarakani kwa miaka mitatu

    Mkutano wa Kitaifa Nchini Burkina Faso umepitisha Mkataba utakaoruhusu Utawala wa Kijeshi kuongoza kipindi cha mpito cha miaka mitatu. Mkutano huo uliidhinisha Hati ambayo baadaye ilisainiwa na Luteni Kanali Henri-Paul Damiba Awali, ilipendekezwa kipindi cha Mpito kuwa miaka miwili na nusu...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alivyomsaidia mumewe kumbaka mwanawe wa miaka minne

    Inaelezwa tukio hili lilitokea Mbarali, mkoani Mbeya bila kuripotiwa. Hiki ni kisa cha kusikitisha cha mtoto wa miaka minne, *Jane Mwikila (si jina halisi), aliyebakwa na baba yake wa kambo na kuharibiwa sehemu za siri huku mama yake mzazi akisaidia kutekelezwa kwa unyama huo. Elias...
  19. To yeye

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 19 anatafuta kazi ya dukani au nyumbani

    Binti wa miaka 19 anaomba kupatiwa kaz iwe ya duka au ndani. Mshahara kuanzia 100,000. Kabila ni mhehe. Mawasiliano yake tafadhali yafuate PM kwangu.
  20. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
Back
Top Bottom