Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha.
-
Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC Network Arab News Agency na Al Watan Daily Newspaper alikamatwa mapema mwaka huu baada ya madai ya unyanyasaji wa kingono katika kituo hicho cha watoto yatima kuwekwa hadharani na shirika la kibinadamu liitwalo Missing Children.
-
Mwendesha mashtaka wa umma alisema kuwa Bwana Mohamed alitumia mamlaka ya umiliki wake na mazingira magumu ya wasichana hao kuwanyanyasa, hata hivyo amekana mashtaka na ataweza kukata rufaa dhidi ya hukumu hiyo.

......................................................................................

A court in Egypt has sentenced a media tycoon with close links to the government to three years in jail for his involvement in human trafficking and the indecent assault of underage girls at an orphanage he founded.

Mohamed al-Amin - who owned a number of influential media outlets - was arrested earlier this year after allegations of sexual abuse at the orphanage were made public by a humanitarian organisation called Missing Children.

The public prosecutor said that he had exploited his authority and the girls' vulnerability.

Amin has denied the charges and will be able to appeal against the sentence.

Source: BBC
 
Faiza Fox anatakiwa apewe;

1. Ulinzi.

2. Tuzo bora ya udini (uislamu).

3. Ajengewe sanamu.

Maana kwenye mada zenye kashfa za vinasaba vya baadhi ya wavunja sheria za kidunia hasa waislamu haonekani lakini sasa zikiangukia upande ule........
 
Back
Top Bottom