DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,621
Reaction score
10,713
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.

Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za kushiriki michuano ya kimataifa. Hivyo wanapambana kuhakikisha wanachukua wachezaji wenye uzoefu na wamepania kuzibomoa Simba, Yanga ma Azam.

Poleni wananchi kwa kumpoteza mchezaji wenu muhimu
 
Unamaanisha Singida United 😂😂😂 naona Waziri kaamua kuchukua kijana wake kutoka timu kipenzi chake kumpeleka timu yake ya jimboni
 
DTB washamba tu ligi kuu sio daraja la kwanza. Wamepanda ligi kuu kwa kuhonga marefa, lazima washuke daraja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom