Kibwana Shomari ana miaka 21

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,911
6,001
Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika Kibwana ni hazina kwa Taifa.

3FE4598F-1CB0-45FF-9ACF-F4712DA01FA1.jpeg
 
Pale Simba kunawachezahi bila kuota moto kabla ya kugusa mpira misuli inagoma ndio maana kwenye basi la wachezaji wa Simba gunia la mkaa alikosekani.
Hiyo ndio Sababu ya kule Kwa Madiba waliwasha moto katikati ya uwanja Ili vikongwe waote moto kabla ya kukiwasha.
 
Back
Top Bottom