Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,551
- 10,802
Kutana na Walter mpaka Guinness world record wamemtambua.
Sahihi,juzi Twitter Kuna mzungu kapost pic mbili,moja akiwa Binti wakati anafanya kazi na ya pili akiwa Mzee anafanya kazi hiyo hiyo katika Hospital hiyo zaidi ya Miaka 38Mshahara utakuwa mnono...
Kibongobongo mshahara mdogo na majungu juu...
Watu wanaishia kuruka kama njiwa...
Wanalipwa shingapi na huo umasikini?Kuna raia wanafanyia kazi umaskini mpaka leo ni miaka 100 lakini bado hawajatambulika.!
Majungu tuuWanalipwa shingapi na huo umasikini?
Kweli, hapo mshahara na chance za growth basi mzee akaamua kutulia.Mshahara utakuwa mnono...
Kibongobongo mshahara mdogo na majungu juu...
Watu wanaishia kuruka kama njiwa...
Nimeiona Ile LinkedIn kule. Yule madam inaonesha anaipenda sana kazi yake.Sahihi,juzi Twitter Kuna mzungu kapost pic mbili,moja akiwa Binti wakati anafanya kazi na ya pili akiwa Mzee anafanya kazi hiyo hiyo katika Hospital hiyo zaidi ya Miaka 38
Wakongwe maofisini waanajua mbinu zote, ukiwazingua unapotea.🤣Duuuh nakumbuka mama mmoja ofisini ukimuudhi tuu anakuuliza weee ungali nani? Mimi nipo hapa toka 1975 nalijua hili jengo kabla hujazaliwa. Miye nikiona hivyo najua pamewaka natimua mpk kesho tunaanza fresh.
Kule viwandani kuna mishahara ya ajabu sana. Pia hawa walinzi wa makampuni.Wanalipwa shingapi na huo umasikini?
Bongo ni noma mkuu. Ukishavuka 35 kama hujawahi kuajiriwa bora tu kukomaa na biashara nyingine.Wengi hawezi kufikia hapo maana mtu ana miaka 40 bado anatafuta kazi halafu life expectncy ni 55
Hakuna kustaafu kwenye hiyo kampuni?
Umetisha mkuu.. talent acquisition specialists wataanza kukuogopa.🤣Mie nataka kuvunja rekodi ya kuhama hama. Miaka 17 kazini, vituo 13 vya kazi.
Na mwakani nahama tena.
Unamwambia kuwa na wewe upo tokea babuDuuuh nakumbuka mama mmoja ofisini ukimuudhi tuu anakuuliza weee ungali nani? Mimi nipo hapa toka 1975 nalijua hili jengo kabla hujazaliwa. Miye nikiona hivyo najua pamewaka natimua mpk kesho tunaanza fresh.
Baby yake gani sasa? Wakati ni mbibi hata kumsikiliza unaogopa hapo kaudhiwa na watu wa idara nyingine.Unamwambia kuwa na wewe upo tokea baby yake hajazaliwa