miaka mitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi? Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

    Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka mitatu awekwa unyumba na Baba yake mzazi

    Kuna msemo unaosema ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, tukio la Baba mzazi mkazi wa mtaa wa Mafisa, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kudaiwa kumuweka unyumba mtoto wake wa kike wa miaka mitatu limewachukiza wengi huku baadhi ya wananchi wakiiomba serikali kuchukua hatua kali...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Abdulrahman Kinana: CHADEMA wamelipwa ruzuku kiasi cha Billion 2.7

    Chadema wamelipwa Tsh Bilioni 2.7 kama ruzuku Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Abdulrahman Kinana amedai moja kati ya masharti ambayo waliomba CHADEMA ni kulipwa ruzuku yao ya miaka 3. Kinana amesema ombi hilo lilikuwa gumu kutokana na ruzuku hutokana na bajeti ya serikali...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

    Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
  9. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Arusha: Baba anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka 3 atiwa mbaroni na Polisi

    Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari. Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi. Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force. Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus. --- Jeshi la...
  10. excel

    JamiiForums Tanzania Geita: Aliyevamia Kanisa la RC Geita na kuharibu mali za Tsh. Milioni 48 ahukumiwa miaka mitatu jela

    Elpidius Edward, mkazi wa Mtaa wa Katundu mjini Geita amehukumiwa kwenda jela miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali zenye thamani ya zaidi shilingi milioni 48.2 za Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki Geita. Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani Elpidius baada ya kuridhishwa na...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kodi kufanyiwa marekebisho kila baada ya miaka mitatu

    Serikali imeeleza kuwa itakuwa inafanya marekebisho ya kodi kila baada ya miaka mitatu ili kuwa na Sera ya kodi inayotabirika na kuwafanya wawekezaji kuweka mipango yenye ufanisi. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, akieleza kuwa Serikali imeweka Sera ya Kodi inayotabirika...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Mwamakula awasha moto kwenye Kongamano la miaka mitatu ya Maalim Seif

    Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uzembe wa Polisi: Madeleka agundulika mtoro jeshini baada ya miaka saba

  14. S

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia na ukwapuaji wa matrilioni ya pesa za walipa kodi

    MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI. Na Mwandishi wetu 5 November 2023. 23:05 Botswana 🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi unaowajali wananchi na kujali maslahi ya nchi na taifa lakini kwa uongozi huu ni bora uongozi na sio uongozi...
  15. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  16. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Makamu wa Rais akishika nafasi ya Rais kwa muda wa miaka 3 au zaidi ataruhusiwa kugombea kipindi kimoja tu

    Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya. Mjadala umechagizwa na kauli ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

    Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake. Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu fulani tukiwa Kenya. Tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

    Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi, Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self. Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya...
Back
Top Bottom